Majan
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,271
- 1,828
Habari.!
Binafsi naamini kuna muda uongo unaruhiwa inategemea nikatika hali gani. Sasa kuna binti kisa chake kilitatanisha na kusababisha ugumu wa kumuamini. Kisa chenyewe ni hiki.
Kuna bint juzi nilimkuta anaomba msaada kijiweni kwa wamama flani ivi wauza mafuta ya alizeti maelezo yake yalikua yanachanganya sana inshort kuna kitu alikua anaficha nahakutaka kuwa muwazi kitu kilichofanya atiliwe mashaka katika maelezo yake mana wale wamama walishindwa kumuamini kwa kifupi yy anasema anataka kurudi kwao Dodoma anasema alisafiri na mama yake kuja msibani.walivyoshuka kwene gari wakapanda bodaboda kila mmoja yake mama yake akiwa mbele yy nyuma. Akiwa kwene bodaboda alishuhudia ile pkpk iliyombeba mama yake ikigongwa na gari
Mama yake pamoja na huyo dereva bodaboda waliumia nakuwahishwa hospitalini baada yakufika hapo hsptl yy aliambiwa asubiri nje mama yake akiwa anaendelea kupatiwa matibabu , pale nje alisubiri kwa muda mrefu sana sasa kuna jamaa alileta mgonjwa(mjamzito) akamkuta huyo bint nje yy akaingia na mgonjwa lkn mpaka anatoka alimkuta bint hapo hapo nje hapo nje ikabidi amuulize kulikoni binti akamuelezea jamaa stuation ilivyokua basi jamaa akamuambia basi twende nikakupe hifadhi mana tyr ni usiku, wakapanda gari wakaondoka mana jamaa alikuja na gari binafsi akaondoka nae hadi guest house pembezoni mwamji umbali wa 20Km toka city center na binti alijua jamaa anampeleka kwake kumbe anampeleka gueat house,.
Akamnunulia msosi bint akala wakalala wote sasa bint kuja kustuka asubuhi anajikuta yupo mwenyewe hajui hata jamaa ameondoka sangapi akavuta subira kwa masaa kadhaa jamaa hatokei sasa kimbembe kikaanza binti alipo hapajui huko msibani hapajui wala hospitali alipolazwa mama yake haijui mana nimgeni manimara yake yakwanza kufika hapa jijini sasa anasema alibidi amuelezee mhudumu wagest akamuambia chakumsaidia nikumuelekeza kituo cha polisi akajielezee labda atapata msaada bint amefika kituoni akajielezea shida yake kubwa nikutaka kurudi Dodoma akaulizwa maswali mawili matatu ambayo ndio hayo hayo waliokuwa wanamuuliza wale wamama pale lkn akashindwa kuyajibu kwa ufasaha maswali kama hosptal aliyolazwa mamaake anasema haijui anaambiwa hujasoma hata bango lajina la hsptl anasema hapana , haya je unanamba yasimu yandugu yako yyte au mtu wako yoyote wakaribu anasema hana,namba ya babaako anasema hana,je mama ako alikua na simu anasema ndio haya taja namba anasema hajaikarili kwakweli akaonekana nimbabaishaji mana kwa muonekano wake alafu anasema eti hana namba yasimu hata moja kichwani kwakweli inastaajabisha anasema pale kituoni baada yakutorizika na maelezo yake wakamtishia kumtupa sero ikabidi aondoke sasa ndio akawakuta hao wamama akawaelezea A-Z nao wakampiga maswali mawili matatu wakaona haeleweli wale wamama wakawa wanamsisitiza kuongea ukweli mana wanahisi maelezo yake niyauongo ndipo atakapopata msaada mana kama police wameshindwa kumuamini wao wanawezaje,yy alishikilia msimamo wake hjo huo kwamba maelezo yake ndio hayo hayo.
Ni binti mzuri tu mrefu wastani mweupe kiumri inaonekana hazidi miaka 21 kwakweli ilibidi pale mimi niwe mteja tu wakununua mafuta nakuondoka sikutaka kutia neno mana nilijua pale wale akina mama wanampiga biti tu lkn watamsaidia mana kwamuda ule ilikua tayari mabasi yote ya Dodoma yameshapita kwaiyo pale ilikua inabidi apate tena sehemu yakulala kwasiku ile.
Sasa nimeingia mtandaoni leo nakutana na habari yakutoroka kwa binti alityetuma video ya mtoto aliyekalia ungo ikihusishwa na mambo yakishirikina ndonikajisemea asijekua ndoyule binti anamanga manga tu hajui uelekeo maalumu