CHAD 1 - 2 Taifa Stars: Tanzania Kidedea!

CHAD 1 - 2 Taifa Stars: Tanzania Kidedea!

Presha inapanda presha inashuka goma la CHAD na Stars linaanza half an hour to come, wenzetu kenya washambonyeza Ushelisheli 1-0 dakika ya 60 sasa, ukiyaka kuangalia live game ya Stars gonga hapo chini

MATCH DETAILS
Competetior: Chad vs Tanzania
Date: Friaday 11th November
Time: From 15:00 GMT
Competetion: 2014 World Cup Qualifying Soccer
Status: Live


WATCH HERE


Mkuu unacheck wapi hiyo game maana mm najaribu hiyo link ila mizinguo inanipa mambo ya kuji register
 
HAwa wakija Taifa Jumanne ijayo tarehe 15 Nov tunawachapa kilaini wanacheza kama Somalia bwana
 
HAwa wakija Taifa Jumanne ijayo tarehe 15 Nov tunawachapa kilaini wanacheza kama Somalia bwana

inatakiwa kuwafunga hili game la kwanza ili la marudiano liwe jepesi maana mpira unadunda
 
kipindi cha pili kimeanza bado moja moja
,kinachotisha ni kufungwa dkk moja baada ya kufunga goli

[TD="width: 20"]11'[/TD]
[TD="width: 50"] [0 - 1] [/TD]
[TD="width: 163, align: left"][/TD]
[TD="width: 163"]
goal.gif
[/TD]
[TD="width: 4"][/TD]

[TD="width: 400, colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 20"]12'[/TD]
[TD="width: 50"] [1 - 1] [/TD]
[TD="width: 163, align: left"]A. Labo
goal.gif
[/TD]
 
Back
Top Bottom