Presha inapanda presha inashuka goma la CHAD na Stars linaanza half an hour to come, wenzetu kenya washambonyeza Ushelisheli 1-0 dakika ya 60 sasa, ukiyaka kuangalia live game ya Stars gonga hapo chini
MATCH DETAILS
Competetior: Chad vs Tanzania
Date: Friaday 11th November
Time: From 15:00 GMT
Competetion: 2014 World Cup Qualifying Soccer
Status: Live
WATCH HERE
unafatilia kupitia chombo gani mkuuDakika ya 17 bado CHAD 0 - Taifa Stars 0
Dakika ya 29 CHAD 1-1 Taifa Stars
HAwa wakija Taifa Jumanne ijayo tarehe 15 Nov tunawachapa kilaini wanacheza kama Somalia bwana
kwanini leo tusiwafunge...HAwa wakija Taifa Jumanne ijayo tarehe 15 Nov tunawachapa kilaini wanacheza kama Somalia bwana
Kipindi cha pili ndio kinaanza sasa