Chad: Serikali Yapinduliwa!!!

Chad: Serikali Yapinduliwa!!!

rebels 400 na "beaten up" Toyotas sijui Datsun, wanaangusha serikali?? ama kweli huyu bwana alikuwa kachokwa!! LOL..........mashoga zake wafaransa wamemtosa, Sakozy yupo kwenye honeymoon, saa hii anaponyeza kizenji...kuku kwa mrija!! Afrika, kaaazi kweli ipo.
 
Mwanakijiji,
Wanajeshi ni watoto wa wakulima na wafanyakzi wa Chad, wana ndugu wanateseka mno hivyo hata ukiwalipa vipi joto la maisha linawapata. Shame on us (Tanzanian) Mkapa ananenepeana mpaka anataka kupasuka kwa hela za wizi kweupe na watu wanamshangilia, huyu alikuwa anastahili ayapate aliyoyapa Chausheshyko wa Rumania na mke wake. Hana heshima kabisa kwa watanzania, sijui hajui hao wanaomlinda ni watoto wa wakulima ambao sasa hivi hata aspirini hamna kwenye vi dispensari huko vijijini.
 
Historia ya Chad has been marred by instability tangu Uhuru!

Sasa kama Wanajeshi wako wanashangilia rebels badala ya kupigana nao- wewe ukiwa raisi utafanyaje? Tukumbuke pia Amini mid 60s alishangiliwa pia na Waganda alipochukua nchiI

Wapi hawa rebels abot 10,000 wanapata silaha? Naskia ni msafara wa magari 300 ya Kijapani!

Muhimu conflicts Afrika kuchangiwa na forces za nje- France, US wana interest Chad baada ya kuwa Oil Exporting Country!

Naskia Debbie amekimbilia Gabon!

Kwanza kuweka rekodi sawa, Idi Amin alipindua serikali ya Milton Obote huko Uganda mwaka wa 1971, na sio mid 60s.

Pili, kuhusu hayo mapinduzi ya Chad, bado ni mwendelezo uleule wa ufisadi wa kimataifa, huyo Idris Deby alikuwa rebel pia, alimpindua Hissene Habre kwa ahadi kuwa ataondoa rushwa, lakini imezidi kipindi chake. Na hao wanaopindua wala si wema, bado ni vibaraka wa mafisadi ya kimataifa ambayo yamesikia Chad kumepatikana mafuta, kwa hiyo tunanyanyasika tu Afrika. Nakuhakikishieni hata Bongo siku yakigundulika mafuta ya kutosha kuwashitua kina Bush utashangaa hata hizo silaha zimetoka wapi na majeshi yameundwa saa ngapi!
 
rebels 400 na "beaten up" Toyotas sijui Datsun, wanaangusha serikali?? ama kweli huyu bwana alikuwa kachokwa!! LOL..........mashoga zake wafaransa wamemtosa, Sakozy yupo kwenye honeymoon, saa hii anaponyeza kizenji...kuku kwa mrija!! Afrika, kaaazi kweli ipo.

Kazi yenyewe unafikiria ndogo..inasemekana hawa rebels wako armed and backed na serikali ya Sudan. Yani hiyo ya rebels 400 mimi imenichekesha na kunifanya nijiulize maswali kadhaa, Wafaransa naona wamegoma kumsaidia shoga yao, maana wana wanajeshi 700 N'Djamena kuevacuate watu wao.
 
Kazi yenyewe unafikiria ndogo..inasemekana hawa rebels wako armed and backed na serikali ya Sudan. Yani hiyo ya rebels 400 mimi imenichekesha na kunifanya nijiulize maswali kadhaa, Wafaransa naona wamegoma kumsaidia shoga yao, maana wana wanajeshi 700 N'Djamena kuevacuate watu wao.

Hao rebels inasemekana wako kama 2000, ufaransa wamesema wao katika hili wako neutral wanawalinda 'wazungu' tu walioko apo Ndjamena kwa kutumia askari 1500. Taarifa za sasa hivi zinasema kuwa waasi wamedhibitiwa kiasi na wanajeshi wa serikali.....
 
Kazi yenyewe unafikiria ndogo..inasemekana hawa rebels wako armed and backed na serikali ya Sudan. Yani hiyo ya rebels 400 mimi imenichekesha na kunifanya nijiulize maswali kadhaa, Wafaransa naona wamegoma kumsaidia shoga yao, maana wana wanajeshi 700 N'Djamena kuevacuate watu wao.

wafaransa "kavu" sana yaani! I really can't believe this bs! sometimes sisi miafrika mambo yetu kama vile tupo miaka ya mwanzo ya karne ilopita.
 
Haya wazee wa kazi wako ndani ya capital lakini rais bado yuko in control, inasemekana askari wengi wamedefect upande wa rebels unaojumuisha UFDD. UFDD inaongozwa na balozi Muhamat Nouri, ambaye alikimbia zaidi ya mwaka mmoja uliopita, akishirikiana na mpwa wake Deby, Timan Erdimi

Battle rages for Chadian capital

1_239577_1_5.jpg

The opposition alliance is engaged in heavy fighting with government forces


Fighting between government forces and an armed opposition alliance has reached Chad's capital, Ndjamena, with foreigners under armed guard by French forces.

Gunfire and shelling near the presidential palace shook the city on Saturday and expatriates from France, the UK and US have assembled in hotels before a possible evacuation.

"The fighting has reached Ndjamena," Haru Mutasa, Al Jazeera's correspondent in Ndjamena, reported.

"People expected the fighting to stay 30km away and it came as a surprise that it came so quickly." (Insurgent: The french government has helped Deby before by giving him aerial reconnassance, this time they haven't...why?)

French role

The French government issued a statement denouncing the violence.

France "strongly condemns the attempt to seize power" in Chad by "armed groups from the outside", the French foreign ministry said on Saturday.

It called for "peace and reconciliation" and expressed support for mediation launched earlier during the day by the African Union (AU).

Paris also said that its role in the conflict is "neutral".

Herve Morin, the French defence minister, said on Saturday that France had a "neutral" position in the current conflict in Chad between government and rebel troops.

"We continue to remain neutral in this combat," Morin told France 3 television. (Insurgent: until he signs a contract giving you oil?)

Morin added that France had sent over a plane to help evacuate any foreign citizens who wished to leave Chad.

He said that around 200 people had said they wanted to leave.

Battle in capital

Government forces battled the opposition near the presidential palace and seemed to be moving through the city freely.

1_239569_1_9.jpg


Profile: Chad

Capital: Ndjamena
Population: 10.4m

President Idriss Deby seized power in a Libyan-backed coup in 1990

He went on to win the Chad's first two multi-party elections in 1996 and 2001

A ceasefire signed between Deby and four rebel groups in October recently collapsed

The largest rebel group, the Union of Forces for Democracy and Development, is led by a former minister who accuses Deby of corruption

The whereabouts of Idriss Deby, the president the rebels seek to overthrow, was not known.

State television services have been suspended.

State radio services have also gone off the air, according to Ibni Oumar Mahamat Saleh, an opposition alliance leader.

Mutasa said that French troops were stationed outside hotels housing French nationals, as well as the French embassy. At least 1,500 French people live in Chad.

"The [Chadian] civilians are looking out for themselves. Some Chadian forces are in town, but most of them have been sent out where the fighting has happened," she said.

Mutasa said local residents were terrified and few had any idea what would happen next.

Chadian government troops are guarding the presidential palace, the defence ministry and the official radio station building.

An opposition leader said that they were ready to provide Deby safe exit if he was holed up inside the presidential building.

"We suppose that Deby is inside. If he wants to leave we have no problem," Abakar Tollimi told AFP by satellite telephone.

"We control the situation, we control the city, there are some pockets of resistance," he said.

AU warning

African leaders also condemned the opposition alliance's march on Ndjamena at an AU summit in Addis Ababa, Ethiopia.

"The assembly strongly condemns the attacks perpetrated by armed groups against the Chadian government and demands that an immediate end be put to these attacks and resulting bloodshed," the declaration said.

Jakaya Kikwete, Tanzania's president and new head of the 52-nation bloc, said the AU will not recognise Chadian rebels should they seize power,

If the rebellion succeeds, certainly we will excommunicate them from the African Union until normalcy and democratic institutions are restored in that country, if it has to happen that way at all," Kikwete told a news conference.


He said the AU had nominated Muammar Gadhafi, the Libyan leader and Denis Sassou-Nguesso, the president of Republic of Congo, to try to broker peace there.

Ban Ki-moon, UN secretary-general, has also expressed concern at the security situation.

A UN statement said Ban was "deeply concerned at the resumption of fighting in Chad ... and reiterates the United Nations' condemnation of the use of military means to seize power".

Internal matter

Jebren Issa, a spokesman for the opposition United Forces for Democracy and Development, confirmed that the presidential palace has been surrounded.

The opposition alliance wants to remove
Deby, Chad's president [AFP][


"Deby will surrender to our troops. We will bring him to justice and can guarantee his safety and security," he told Al Jazeera.

He said the rebels had no intention of attacking French troops.

Responding to AU criticism of the rebel offensive, Issa said whatever that was happening was an internal matter for Chad.

"We had no choice but to throw him [Deby] out of power."

The United Nations evacuated all "non-essential" staff from Ndjamena to Cameroon amid the fighting.

Amid the increasing tensions, France has sent a combat unit of 126 extra troops into Chad, joining 1,100 already situated there.

A EU peacekeeping mission, which was due to start deploying in Chad and neighbouring Central African Republic, announced on Friday that it was temporarily suspending troop flights to Chad.

Eufor, which at full strength will consist of 3,700 peacekeepers, is tasked with protecting about half a million civilians displaced as a result of the crisis in Sudan's Darfur region.

source: aljazeera.
 
Huyo Debbi naye sii alitoka mstuni 13 years akaangusha serikali???

Mwaka juzi amebadili katiba aendelee kutawala without limit- tamaa ya madaraka!

Kwani Debbi, M7, Jammie wote sii waliingia madarakani kwa mtutu wa bunduki? Na walipoingia wamekataa kuondoka?

JK ana kazi kubwa- crises in DRC, Chad, Sudan, Commoro, Kenya, I Coast, Burundi!!

Crises kila siku -hivi Afrika itakuwa stable lini?

Ya Tanzania yanamshinda atayaweza ya Bara la Afrika? Ataendeleza usanii wake tu wa kucheka cheka na kuendelea kuharibu reputation ya Tanzania tuliyokuwa nayo Afrika na duniani kwa ujumla pamoja na 'umaskini' wetu.
 
Jakaya Kikwete, Tanzania's president and new head of the 52-nation bloc, said the AU will not recognise Chadian rebels should they seize power,

"If the rebellion succeeds, certainly we will excommunicate them from the African Union until normalcy and democratic institutions are restored in that country, if it has to happen that way at all," Kikwete told a news conference.

Africa, bado sana!
Usanii kwa kwenda mbele, hadi katika mambo yanayohitaji userious!

Sijui ni lini MAMA AFRICA ataacha kutoa machozi, ni lini atapumzika na shida za wanawe.
 
Africa, bado sana!
Usanii kwa kwenda mbele, hadi katika mambo yanayohitaji userious!

Sijui ni lini MAMA AFRICA ataacha kutoa machozi, ni lini atapumzika na shida za wanawe.

Matatizo yenyewe tunajitakia wenyewe kwa sababu ya uchu na tamaa ya madaraka mwishowe matokeo yake ndio yakupinduliwa.

haya matatizo kikwete ameyakuta na ataondoka atayaacha kama yalivyo au yatakuwa yamezidi.. msemo wa Nyani Ngabu "Waafrika ndivyo tulivyo"

Latest development kutoka JANA wanasema jamaa wamekubaliana kusitisha mapigano.
 
haya matatizo kikwete ameyakuta na ataondoka atayaacha kama yalivyo au yatakuwa yamezidi.. msemo wa Nyani Ngabu "Waafrika ndivyo tulivyo"
Kweli nwaafrica ndivyo tulivyo,
Sasa tufanyeje? tuwarudishe tena wakoloni?
Nina wasiwasi na sisi kujikuta siku moja katika huo mkondo,kwani hakuna marefu yasiyo na ncha.

Sehemu tuliyofunga mikanda sisi walala hoi imeanza kupata malengelenge! itabidi tuanze kuilegeza na mwishowe tujeifungua kabisa ili wote tufaidi matunda ya nchi.
 
Nakuhakikishieni hata Bongo siku yakigundulika mafuta ya kutosha kuwashitua kina Bush utashangaa hata hizo silaha zimetoka wapi na majeshi yameundwa saa ngapi!

..tuongee kwa hatua. hayo majeshi yatatokea wapi?

..watu hawabebi hata fimbo,itakuwa silaha!

..majeshi hayaundwi from scratch,yanajengwa taratibu.
 
..tuongee kwa hatua. hayo majeshi yatatokea wapi?

..watu hawabebi hata fimbo,itakuwa silaha!

..majeshi hayaundwi from scratch,yanajengwa taratibu.


kwani wenzetu walianzia wapi?

hatua ni hizo hizo kaka

ila tujitahidi tusifike na tuombe pia
 
Na huko Chad inaelekea Wafaransa wamefanya vitu, mwanzo walisema wako neutral. Rebels wametumika kama "pawns" kushinikiza priority katika mafuta?

French defence minister in Chad


1_239999_1_5.jpg

The UN has said that up to 20,000 people have
left Chad due to the fighting [AFP]

Herve Morin, France's defence minister, has visited Chad in order to show support for Idriss Deby, the Chadian president who has said that his forces are in "total control" of the capital and country.

Morin arrived in Ndjamena on Wednesday saying he hoped the support for Chad's government would ensure that the country "retains its integrity".

He said: "France will do what it has done before within the limits of international law and the rules that the president of the republic [Nicolas Sarkozy] has given the military."

The Chadian army has been involved in fighting an opposition alliance in and around the capital since Friday.

In military uniform, Deby said at a news conference on Wednesday that government troops had won a "stunning victory" over opposition forces.

Deby said that most of the fighters had come from Sudan, with very few Chadians involved in the uprising.

Rebels 'disgusied as civilians'

He said there were "rebels who have fled, there are some still in Ndjamena disguised as civilians, there are some trying to get back to the border" with Sudan.

"We're at their heels and we shall catch them before they get back to Sudan," he said, adding that Chad was "attacked from abroad".

Haru Mutasa, Al Jazeera's correspondent in Ndjamena, said that Deby "looked in good shape. He was making jokes. And he came out to give a warning to the rebels not to return.

"He doesn't call them rebels, he calls them mercenaries. And he vowed to deal with each one of them should they return to the capital."


Morin was also due to meet French forces stationed in Chad later in the day.

There are more than 1,900 French soldiers with fighter jets in what is a former French colony.

..........................
source: aljazeera
 
...hahaa haa hawa france ni ng'ombe sana na ndio mwanzo wa crisis nyingi,huyu Derby i wish wangempindua ni mshenzi tuu na kibaraka,kwanza alibadirisha katiba ili kuendelea kutawala,wafaransa dawa yao kagame tuu maana ndio aliwaweza.
 
Back
Top Bottom