Hata msipoahiriki uchaguzi 2030 mtakuja mkiwa Moto ,,,nendeni mkahubiri injili ,,Lissu sina mashaka na uadilifu wake anaweza kuongoza chombo kwa uadilifu bila kutamani shekeli za watawala na hatimae kujenga uungwaji mkono utakaoleta kimbunga achana na akina Zitto nk. Wao Wana mission zao zinajulikana.
Tafuta wanamikakati hata kama ni wa kulipwa kutoka nje waweke mikakati mezani mwende field ,,waimarishe vijana wasitegemee malipo makubwa wafanye kazi kama maketekista kueneza injili bila kutegemea kulipwa!! Watie moyo vijana wa ktz wote waombe wachangie ziara za chama mnapokuwa jukwaani watu wachangie na walishaanza kukubali!!
Nenda kwenye kata zote nchini msichoke ,,,ibua vijana uko mashinani wenye kuweza kufanya kazi za chama kwa moyo .
Hii Nchi miaka si mingi inaanguka mikononi mwenu maana CCM tyr kimefika mwisho code zote zishafunguliwa!!
Jenga watu watakaokuja kuwa tishio baada yenu msiwe kama Lipumba,,Hakikisha mna watu angalau 5 ndani ya chama wenye ushawishi ambao nyinyi mkianua tanga wao wanalipandisha spana zinaendelea kupigwa.
Nakupongeza Heche umeilea familia kipindi ambacho baba yuko matatizoni unafaa kupewa majukumu nyeti!!.
Jenga urafiki wa kificho na watu wenye akili ndani ya vyombo vya dola hili nalo litawasiadia sana.
Msiwaze mtapata wapi hela vijana wa kitanzania na wazee washakubali watawachangieni mkiwakimbilia na injili itasinga.