Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Binafsi si Mwanachama cha chama chochote cha siasa ila napenda mabadiliko ya kimfumo na harakati chanya. Sipendi kunyamazia upuuzi popote pale.
Huyu mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo inaonekana kama vile amekalia kadi ya CCM. Ni mara ya pili sasa anapokea Wahuni wanaojitambulisha kua ni wagombea wa CHADEMA na kuwapa form ya kugombea ubunge, huyu mama sijui anafikiria kitu gani? Anataka vurugu zianzie Kibamba zisambaze na pengine?
Kama ameshaambiwa na viongozi wa chama husika kuwa hao watu waliochukua fomu siyo watu wao halafu yeye analazimishwa anataka nini?
Sasa nawashauri Chadema shughulikieni mambo haya ya hovyo yasijirudie ikiwa bado ni mapema. Huyu mama kuna kitu labda anajitafutia