"Ilisha 'fail'", ipi hiyo!Hiyo iliisha fail, watafute njia mbadala, au teseme labda wameamua KULIALIA ndio njia mbadala kwao.
Watanzania waliisha ikubali CHADEMA
Inawezekana hunielewi ninacho lenga mimi.
"WaTanzania walisha ikubali CHADEMA"?
Kwa maoni yangu hali tuliyo nayo sasa hivi chini ya CCM, waTanzania hawana 'luxury' tena ya "kuikubali" au kuto ikubali CHADEMA!
Lililo muhimu ni kuondokana na hili zimwi linalotumaliza sote.