"Ilisha 'fail'", ipi hiyo!Hiyo iliisha fail, watafute njia mbadala, au teseme labda wameamua KULIALIA ndio njia mbadala kwao.
Watanzania waliisha ikubali CHADEMA
Hueleweki. Tuishie hapo."Ilisha 'fail'", ipi hiyo!
Inawezekana hunielewi ninacho lenga mimi.
"WaTanzania walisha ikubali CHADEMA"?
Kwa maoni yangu hali tuliyo nayo sasa hivi chini ya CCM, waTanzania hawana 'luxury' tena ya "kuikubali" au kuto ikubali CHADEMA!
Lililo muhimu ni kuondokana na hili zimwi linalotumaliza sote.
Mbona uchafuzi huu ni somo zuri na kielelezo tosha kwa kila mTanzania. Hivi hatuwezi kuanzia hapa huku tukielekea 2025; ambayo ndiyo sababu kuu inayo waondoa akili kichwani hawa wanaokosa busara kwa kufanya haya wanayo yafanya sasa?Asante Mkuu
Hilda ataandika
Pambalu ataandika
Mnyika ataandika
Lema ataandika
nk
Then what?
Mnachosha mjue
Kaeni kimya msitusumbue na malalamiko yenu..
Dhalimu Magufuli ndio muasisi wa huu ushenzi unaooendelea kwenye chaguzi zetu kwa sasa. Au unadhani hatawezi kutambua ukweli?Too late, wameishameza ndoano...waliingia mkenge wa muafaka feki, wakafutiwa Kesi mbaya za jinai, wakarudi kutoka uhamishoni ambapo hadi Leo hatujuhi nini kiliwapeleka huko, wakaambiwa sio lazima kuwa na Katiba mpya wakakubali, bila kuwa na ushahidi wakaamishwa kuwa mwendazake ndio alikuwa anataka kuwamaliza!
Ukweli mbona umewahi Sana kujidhihilisha sasa,