Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam.
Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera mlitegemea nini?
Hivi mlitegemea nini kushiriki uchaguzi huu ikiwa kila kitu kinaratibiwa na ccm kuanzia uandikishaji, utoaji form, uzimamizi wa uchaguzi kuhesabu kura na kutangaza matokeo. Ni vema mkanyamaza na kuendelea kushiriki hyo haramu msitufanye watanzania wote ni wajinga kwamba tutawaonea huruma mmefeli sana.