Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
YOU MUST BE STUPID AND CRAZY. WALIPOSUSIA LAST TIME KILITOKEA NINI? ULIWASHAURI WAACHE, SO WHAT? KWANI WALIPOACHA 2019CCM ILIWAKATAZA KUENDELEA NA OUVU WAO? PENDEKEZA WAFANYEJE/WANGELIFANYAJE? MKIITWA TWENDE KWEYE MAANDAMAN HAMUENDI, . WEWE NI CHAWA, MWENYE AKILI ZISIZO ZA KICHAWA HAWEZI KUSEMA/KUANDIKA HIVYO!Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo sasa muache kulialia mnatukera.
CHAUMAJambo la Katiba linahitaji subira..
Subira wewe chama gani ?
CHAUMA nyie Uchaguzi hamshiriki ?CHAUMA
Kuwe na chama kimoja km enzi zile kuliko hizi sarakasi na unafikina tume huru isipoundwa hado 2050 itakuaje?
Katiba Mpya Kwanza, Chaguzi za Siasa Baadaye!Wasalaam.
Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera mlitegemea nini?
Hivi mlitegemea nini kushiriki uchaguzi huu ikiwa kila kitu kinaratibiwa na ccm kuanzia uandikishaji, utoaji form, uzimamizi wa uchaguzi kuhesabu kura na kutangaza matokeo. Ni vema mkanyamaza na kuendelea kushiriki hyo haramu msitufanye watanzania wote ni wajinga kwamba tutawaonea huruma mmefeli sana.
Kuwe na chama kimoja km enzi zile kuliko hizi sarakasi na unafiki
Ushauri wako ni wa kuwapotosha. Hiyo Tume huru CCM wanegoma kuruhusu iwepo na wao ndiyo wenye dola hapo unafanyaje?Wasalaam.
Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera mlitegemea nini?
Hivi mlitegemea nini kushiriki uchaguzi huu ikiwa kila kitu kinaratibiwa na ccm kuanzia uandikishaji, utoaji form, uzimamizi wa uchaguzi kuhesabu kura na kutangaza matokeo. Ni vema mkanyamaza na kuendelea kushiriki hyo haramu msitufanye watanzania wote ni wajinga kwamba tutawaonea huruma mmefeli sana.
Tume huru hivi ni lazima iwe ndani ya katibaKatiba Mpya Kwanza, Chaguzi za Siasa Baadaye!
Kususia haijawahi kuwa dawa,zaidi ni kuwazindua usingizini walio lala kuwa uhuni upo na wahuni wapo,zaidi ya hapo ni kujitambulisha kwa mhuni kuwa asikuchukulie poa.Wasalaam.
Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera mlitegemea nini?
Hivi mlitegemea nini kushiriki uchaguzi huu ikiwa kila kitu kinaratibiwa na ccm kuanzia uandikishaji, utoaji form, uzimamizi wa uchaguzi kuhesabu kura na kutangaza matokeo. Ni vema mkanyamaza na kuendelea kushiriki hyo haramu msitufanye watanzania wote ni wajinga kwamba tutawaonea huruma mmefeli sana.
Hiyo tume huru itakuja lini?! Ni nini kitaifanya CCM iruhusu tume huru ilhali Ina vyama vingine pandikizi ambavyo haviwezi kugomea uchaguzi wowote kwa tume hii hii inayolalamikiwa?!Wasalaam.
Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera mlitegemea nini?
Hivi mlitegemea nini kushiriki uchaguzi huu ikiwa kila kitu kinaratibiwa na ccm kuanzia uandikishaji, utoaji form, uzimamizi wa uchaguzi kuhesabu kura na kutangaza matokeo. Ni vema mkanyamaza na kuendelea kushiriki hyo haramu msitufanye watanzania wote ni wajinga kwamba tutawaonea huruma mmefeli sana.
Kwahiyo chadema waendelee kushiriki chafuzi hizi?Wasiposhiriki uchaguzi CCM wanasonga mbeke kama ilivyokuwa kule zanzibar Cuf waliposusia uchaguzi.
Bila kushiriki uchaguzi huu uchafuzi usingeonekana. Ni kushiriki hadi mwisho ili mbivu na mbichi zijulikane.Wasalaam.
Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera mlitegemea nini?
Hivi mlitegemea nini kushiriki uchaguzi huu ikiwa kila kitu kinaratibiwa na ccm kuanzia uandikishaji, utoaji form, uzimamizi wa uchaguzi kuhesabu kura na kutangaza matokeo. Ni vema mkanyamaza na kuendelea kushiriki hyo haramu msitufanye watanzania wote ni wajinga kwamba tutawaonea huruma mmefeli sana.
Kwahiyo chadema waendelee kushiriki chafuzi hizi?
NdioKwahiyo chadema waendelee kushiriki chafuzi hizi?