CHADEMA kufa si furaha kwako au? acha ife CHADEMA ubaki na TLP yenye nguvuMkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma...
Na hawataki tume huru ya uchaguziMwambie Sirro aache mikwara yake uone, hawana backup wakati kura za mabegi meusi ndio mkombozi wenu, jinga kweli.
Jina la Chato limekufa mkuuBakapu ya chato kuwa New York
Cdm iliifirisi awamu ya tano zaidi ya tril 2.4 na bado iko imara kulikou 2015Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma....
Hamza wa ccm hatari!Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma...
No room for chadema anymore katika mioyo ya watz walio wengi ndiyo maana walio muua magu wanajiachia tu na vitambi vimewatoka siku hizi ,kwa sasa tz hakuna chama cha upinzani ,iliyobaki ni MAGUFULI LEGACY NA MAFISADI LEGACY TU
kama chama kipya kikianzishwa kwa kikiwa na legacy ya magufuli ccm itakuwa ndiyo mwisho wake
Sasa Magufuli si kafa? Kwanini basi hamfufuki kama aliua upinzani?..Na aliyeua vyama vya siasa si Magufuli akitumia vyombo vya dola?
..Legacy ya Magufuli ni pamoja na kuvuruga demokrasia ya vyama vingi nchini.
Sasa Magufuli si kafa? Kwanini basi hamfufuki kama aliua upinzani?
Watumishi wale wanaoibeba,ile chama chorokocho.kwa weledi unaofanana na wako.Utulie tasafali.waache wenye akili wakupambanie hata wewe usiyejielewa.Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma.
Mnatakiwa kutambua kuwa ili muwe na nguvu ya kisiasa lazima muwe na backup ya wananchi.
Habari za kutegemea uzushi wa mita ndao ya kijamii hasa twita hazina mashiko na zitawatokea puani.
Ingieni mitaani kwenye uhalisia wa mambo ili mpate ukweli. Acheni kupenda kujenga chuki kwenye jamii.Mtaangukia pua.
Sasa kwa hiyo looser anaongelewa kila wakati?Basi sawa
Nalog off