CHADEMA acheni kushupaza shingo mtaumia, tambueni hamna backup ya wananchi


Mbona wewe Baba yako alikukataa hatujasema.
 
Propaganda hizi bana

Sasa hakuna wananchi na mimi sio mwananchi?

Nenda kaangalie idadi ya walio download App ya CDM,chukua ile idada halafu wafate uulize walikwishakata kadi ni wangapi then uje uongee pumba hapa
Acha kuchukua takwimu twita.
 
Kama mnadhani CHADEMA hawana backup ya wananchi nawashauri mfanye yafuatayo.

1. Mfungeni mbowe.
2.Kifuteni chadema.

Ni hayo tu.
Na anafungwa wala hamfanyi lolote.Waulize waliojaribu kupindua serikali miaka ileeeeeeeeee.
 

Kama CDM hawana backup ya wananchi mnahangaika nao nini sasa kwa kutumia polisi?
Mmeiba chaguzi,mmebana vyombo vya habari,kila siku mnakamata watu.
Acha kutumia kichwa kufugia nywele,tumia kufikiri. Au labda hakuna ubongo ndani..
 
Mama ameacha kuupiga mwingi?

..Maza anavuta muda arudi kwao Znz 2025.

..Haonyeshi dalili zozote za kuutaka Uraisi wa muungano 2025, anachotaka ni kumaliza kipindi chake salama.
 
If that is the case mbona mnahaha kuzuia mikutano ya ndani ya katiba, kuzuia wananchi kufika kusikiliza kesi ya kiongozi wao etc..
 
..Maza anavuta muda arudi kwao Znz 2025.

..Haonyeshi dalili zozote za kuutaka Uraisi wa muungano 2025, anachotaka ni kumaliza kipindi chake salama.
Mzigo ushaanza kumwelemea.
 
Nadhani una point
 
..Na aliyeua vyama vya siasa si Magufuli akitumia vyombo vya dola?

..Legacy ya Magufuli ni pamoja na kuvuruga demokrasia ya vyama vingi nchini.
Vyama uchwara visivyo na uzarendo hatuvitaki tanzania ,ndiyo maana magufuli aliviua, unakuta mpinzani anatetea wezi wa madini na kuwapigania mabeberu
 
Kuna siku hata moja uliwahi kuleta hoja ya maana? Uwezo wako unaishia kwenye mambo ya kufikirika pekee au una kingine chochote cha maana hata kama kidogo, kichwani mwako ambacho hujawahi kukileta hapa jukwaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…