Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Viongozi wa CHADEMA ifkike mahala mkubali kuwa hawa watu so rafiki kwenui kwa vitendo wanaowafanyia, hivyo ni busara kuacha kabisa kwasemea ikiwemo kutetea masilahi ya Polisi wa nchi hii kama ambavyo mmekuwa mkifanya Bungeni na kwenye mikutano ya hadhara.
Acheni kabisa kuongelea hali za makazi yao, mishahara yao na stahiki zao zingine wakati huu mpaka labda mshike dola.Haina maana kutetea watu hawa na badala yake muwaache wapambane na hali zao.
Ni vigumu kuamini hili Jeshi halifungamani na siasa hasa ukitafakari jinsi linavyowatendea wanasiasa wa upinzani na sio sasa tu, bali ni kwa miaka mingi tangu tuingie katika mfumo wa vyama vingi.
Wanahabari na nyie mjitafakari na mjiulize kama hili jeshi kwenu ni rafikia bila kusahau yaliyomkuta Daudi Mwangosi kule Iringa enzi za JK.