CHADEMA acheni kutetea Polisi wa Tanzania, waacheni wapambane na hali yao

CHADEMA acheni kutetea Polisi wa Tanzania, waacheni wapambane na hali yao

Wanafunzi wa Bangladesh waliungwa mkono na Vyama vya Upinzani dhidi ya Serikali na Chama tawala cha Awami.

Naona unajaribu kuspin 😂
Wapinzani walidandia tuu lakini haikuwa Ngoma Yao na Wala hawajawahi anzisha movement ikafaulu,siku zote walikuwa Wanaochezea kipondo.

So hakuna siku mtafaulu ila Mabadiliko yatakuja yenyewe automatically
 
Bila Wapinzani kuingiza Wanachama wao ile Movement ingefeli mapema na Tanzania dalili zinaonyesha mambo yatakuwa hivyo IWAPO kama Samia Suluhu ataamua kuiba Uchaguzi ndio itakuwa Trigger.
 
Polisi Wana njaa hatari, lakini wavyoitetea CCM ndo unamini kuwa na D mbili kwenye maisha inasaidia
 
Bila Wapinzani kuingiza Wanachama wao ile Movement ingefeli mapema na Tanzania dalili zinaonyesha mambo yatakuwa hivyo IWAPO kama Samia Suluhu ataamua kuiba Uchaguzi ndio itakuwa Trigger.
Haingefeli hata siku Moja,Vijana ndio wengi na hata Wafuasi wa Upinzani ambao najua wengi ni Vijana waliingia ni Kwa sababu ya kuunga mkono vuguvugu la Vijana wenzao ndio maana credits ni Kwa Vijana na sio Vyama uchwara vya Upinzani.
 
Hivi Chadema mmewahi kufanya jambo gani likafanikiwa...

Nakumbuka kipindi CUF ni chama kikuu cha upinzani...

Walimkalia kooni Mkapa akaondoa baadhi ya kodi kipindi hicho...

Kama kodi ya kichwa na kipande...

Unaposema Chadema waache kutetea masilahi ya askari, una maanisha mmeshawahi kutetea kundi fulani na mambo yakabadilika?

Ni kundi lipi hilo mkuu?
 
Haingefeli hata siku Moja,Vijana ndio wengi na hata Wafuasi wa Upinzani ambao najua wengi ni Vijana waliingia ni Kwa sababu ya kuunga mkono vuguvugu la Vijana wenzao ndio maana credits ni Kwa Vijana na sio Vyama uchwara vya Upinzani.
Angalia mfano mwingine Kenya Ruto alipokubali Mawaziri WAPINZANI waingie kwenye Baraza lake la Mawaziri mambo yamepoa hata GenZ maandamano yao ya Nane Nane hayakuwa na Watu.

Vyama vya Upinzani usividharau ndugu.
 
Wewe elewa kwamba Gen Z wamefeli Kwa sababu walikuwa na maandamano ya nenda Rudi nenda Rudi Sasa hayo yanawapa Serikali na Wapinzani fake kujipanga.

Mwisho wa siku maandamano Yao licha ya Kuuwawa,kuvunjwa miguu na kupotea wameishia kufaidosha Wanasiasa wapuuzi wa Upinzani.

Gen Z wanatakiwa kujipanga upya na hapo lazima waje kivingine na sio Kwa jina Hilo Kwa sababu wameshaingiliwa na Wanasiasa.

Gen Z wamefanya maandamano mfululizo yule Mwanasiasa alikuwa anasepa Sasa walimpa mda ndio maana wamefeli na kufaidisha Wanasiasa wapuuzi ambao wamerejesha upuuzi ule ule wa Mwanzo Kwa sababu Wanasiasa siku zote wanachotaka ni kutawala.

Next time wakatae kuingiliwa na Wanasiasa ndio watafaulu Waziri wa Fedha wa Kenya Kutoka Upinzani (ODM) Apanga Kurejesha Baadhi ya Kodi Zilizolalamikiwa na Gen Z.Adai Wabunge Walilazimishwa Kuzikataa.
 
Mwisho wa siku maandamano Yao licha ya Kuuwawa,kuvunjwa miguu na kupotea wameishia kufaidosha Wanasiasa wapuuzi wa Upinzani.
Tatizo la GenZ ni Leaderless Movement kwahiyo sisi Wapinzani ndio tutawa guide.

Sisi hapa Tanzania tumepanga kuwa IWAPO Uchaguzi utaibiwa ndio itakuwa Trigger.
 
Tatizo la GenZ ni Leaderless Movement kwahiyo sisi Wapinzani ndio tutawa guide.

Sisi hapa Tanzania tumepanga kuwa IWAPO Uchaguzi utaibiwa ndio itakuwa Trigger.
Nani alikudanganya hawana leaders,by the way wanachaguana
 
Kwa ufupi sana hatuna jeshi la polisi tanzania bali tuna makada wa kijani walio valia sare za polisi ….. ukitaka kuamini haya nayo sema surbiri uchaguzi ufike
 
Back
Top Bottom