ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wapinzani walidandia tuu lakini haikuwa Ngoma Yao na Wala hawajawahi anzisha movement ikafaulu,siku zote walikuwa Wanaochezea kipondo.Wanafunzi wa Bangladesh waliungwa mkono na Vyama vya Upinzani dhidi ya Serikali na Chama tawala cha Awami.
Naona unajaribu kuspin π
Bila Wapinzani kuingiza Wanachama wao ile Movement ingefeli mapema na Tanzania dalili zinaonyesha mambo yatakuwa hivyo IWAPO kama Samia Suluhu ataamua kuiba Uchaguzi ndio itakuwa Trigger.Wapinzani walidandia tuu lakini haikuwa Ngoma Yao na Wala hawajawahi anzisha movement ikafaulu,siku zote walikuwa Wanaochezea kipondo.
So hakuna siku mtafaulu ila Mabadiliko yatakuja yenyewe automatically
Haingefeli hata siku Moja,Vijana ndio wengi na hata Wafuasi wa Upinzani ambao najua wengi ni Vijana waliingia ni Kwa sababu ya kuunga mkono vuguvugu la Vijana wenzao ndio maana credits ni Kwa Vijana na sio Vyama uchwara vya Upinzani.Bila Wapinzani kuingiza Wanachama wao ile Movement ingefeli mapema na Tanzania dalili zinaonyesha mambo yatakuwa hivyo IWAPO kama Samia Suluhu ataamua kuiba Uchaguzi ndio itakuwa Trigger.
Angalia mfano mwingine Kenya Ruto alipokubali Mawaziri WAPINZANI waingie kwenye Baraza lake la Mawaziri mambo yamepoa hata GenZ maandamano yao ya Nane Nane hayakuwa na Watu.Haingefeli hata siku Moja,Vijana ndio wengi na hata Wafuasi wa Upinzani ambao najua wengi ni Vijana waliingia ni Kwa sababu ya kuunga mkono vuguvugu la Vijana wenzao ndio maana credits ni Kwa Vijana na sio Vyama uchwara vya Upinzani.
Wewe elewa kwamba Gen Z wamefeli Kwa sababu walikuwa na maandamano ya nenda Rudi nenda Rudi Sasa hayo yanawapa Serikali na Wapinzani fake kujipanga.Angalia mfano mwingine Kenya Ruto alipokubali Mawaziri WAPINZANI waingie kwenye Baraza lake la Mawaziri mambo yamepoa hata GenZ maandamano yao ya Nane Nane hayakuwa na Watu.
Vyama vya Upinzani usividharau ndugu.
Tatizo la GenZ ni Leaderless Movement kwahiyo sisi Wapinzani ndio tutawa guide.Mwisho wa siku maandamano Yao licha ya Kuuwawa,kuvunjwa miguu na kupotea wameishia kufaidosha Wanasiasa wapuuzi wa Upinzani.
Nani alikudanganya hawana leaders,by the way wanachaguanaTatizo la GenZ ni Leaderless Movement kwahiyo sisi Wapinzani ndio tutawa guide.
Sisi hapa Tanzania tumepanga kuwa IWAPO Uchaguzi utaibiwa ndio itakuwa Trigger.
GenZ Kenya walisema hawana Viongozi acha kupotosha.Nani alikudanganya hawana leaders,by the way wanachaguana