CHADEMA acheni kuwaonea wivu Mwambukusi na Sauti ya Watanzania. Ninyi kama mmepoteza kuaminiwa mtulie.

CHADEMA acheni kuwaonea wivu Mwambukusi na Sauti ya Watanzania. Ninyi kama mmepoteza kuaminiwa mtulie.

Naamini hata CCM wangefurahi kama nyimbo zao zingepigwa kwenye mikusanyiko hata nyumba Kwa nyumba maana ni kuhesimishwa kupata wasikilizaji bila kuwekeza. Kuna mambo yanafikirisha badala ya kushangaza, kama si taarifa hiyo kutolewa na Jeshi la Polisi, ningeweza kukataa kama zinaweza kuwa zimetoka huko kunakotajwa.
 
Kugundua kua mwenyekiti wa chama cha upinzani yupo karibu na anakula kwa faida bahasha za chama tawala inahitaji ufatilie kwa kina ili ugundue.
 
Back
Top Bottom