Yaani CCM wamepeta hahahaha wanakimbia vivuli vyaoCC ya CCM wamekubaliana na sisi kwenye suala la katiba mpya, hii inathibitisha hata CCM wenyewe wanatukubali kwenye masuala ya kupigania maslahi ya wananch...
GoodTunataka Utawala wa sheria
Hatari sana.CC ya CCM wamekubaliana na sisi kwenye suala la katiba mpya, hii inathibitisha hata CCM wenyewe wanatukubali kwenye masuala ya kupigania maslahi ya wananchi.
Haya nenda kakinge buku teni hilo kwa Tulia. Usisahau pia kumpa salamu kwamba atulie wana Mbeya 2025 tunamletea Sugu amsugue.
Kwani aliyekuambia watu wanafurahia uharamia ni nani?Chadema kama chama kikuu cha upinzani hamna sababu za kuendelea kufatilia wabunge wa viti maalumu ambao tayari mmeshawafukuza kwa fitina zenu wenyewe tunajuwa nyie hampambani kwa ajiri ya Watanzania nyie mnapigania ugali wenu wenyewe....
Chadema kama chama kikuu cha upinzani hamna sababu za kuendelea kufatilia wabunge wa viti maalumu ambao tayari mmeshawafukuza kwa fitina zenu wenyewe tunajuwa nyie hampambani kwa ajiri ya Watanzania nyie mnapigania ugali wenu wenyewe...
Chadema kama chama kikuu cha upinzani hamna sababu za kuendelea kufatilia wabunge wa viti maalumu ambao tayari mmeshawafukuza kwa fitina zenu wenyewe tunajuwa nyie hampambani kwa ajiri ya Watanzania nyie mnapigania ugali wenu wenyewe...
Chadema kama chama kikuu cha upinzani hamna sababu za kuendelea kufatilia wabunge wa viti maalumu ambao tayari mmeshawafukuza kwa fitina zenu wenyewe tunajuwa nyie hampambani kwa ajiri ya Watanzania nyie mnapigania ugali wenu wenyewe.
Hamna sera yoyote yakukomboa taifa letu dhidi ya CCM ambayo inatapanya fedha za umma kila kukicha!
Hamna msimamo katika yale mnayoyaamini kesho mnatangaza fulani fisadi kesho hiyohiyo mliyemchafua mnamchagua kwenye kinyanga'nyiro cha uraisi.
Nyie ni chama mfilisi hamna agenda yoyote ni wasakatonge tu hamna cha katiba mpya mkipewa vijisent mnasahau agenda zenu