RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Chadema kama chama kikuu cha upinzani hamna sababu za kuendelea kufatilia wabunge wa viti maalumu ambao tayari mmeshawafukuza kwa fitina zenu wenyewe tunajuwa nyie hampambani kwa ajiri ya Watanzania nyie mnapigania ugali wenu wenyewe.
Hamna sera yoyote yakukomboa taifa letu dhidi ya CCM ambayo inatapanya fedha za umma kila kukicha!
Hamna msimamo katika yale mnayoyaamini kesho mnatangaza fulani fisadi kesho hiyohiyo mliyemchafua mnamchagua kwenye kinyanga'nyiro cha uraisi.
Nyie ni chama mfilisi hamna agenda yoyote ni wasakatonge tu hamna cha katiba mpya mkipewa vijisent mnasahau agenda zenu.