Dana dana hazisaiidii..
Kutafuta sifa hakusaidii
Watu wamepoteza wapendwa wao pale...kuna yatima pale kuna wajane na wagane......
Uzembe tena sio mdogo ndo ulifanyika... Nikikumbuka marubani hatunao japo uwezekano wa kupona ulikuwepo sina hamu na viongozi wetu.
Acheni kujisafisha...hamuwezi kungaa kwa hali hii.....
Halafu mlima kilimanjaro mshauzima??