Pre GE2025 CHADEMA, ACT, CUF na wengine, na hofu ya kuonja sumu

Pre GE2025 CHADEMA, ACT, CUF na wengine, na hofu ya kuonja sumu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Nani asiyejua hatari ya kuonja sumu kwa ulimi?

2. Upo wito halali wa kutelemka mabarabarani 23/24.

3. Pamoja na kuwaita ndugu wa damu tena wale nguli washindao mitandaoni 24/7 kwa majina yao:

"Jan 23/24, Maandamano yahusishe wadau wote."

4. Ni mwendo wa kupita juu kwa juu, kama jambazi kaona polisi!

5. Kwamba hawataki katiba mpya au "wanaogopa kuchema?"

6. Angalia hofu ya kuonja "chumu" kwa ulimi ilivyo tamalaki; mifano iko mingi:

a) "Kama CCM wanapata presha Mbowe kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, siku John Heche akiwa mwenyekiti watakufa kabisa!"

b) "Freeman Mbowe amepooza sana katika siasa, makali yake yameisha?"

7. Kama imani zetu zingalijengwa kwenye misingi imara ya falsafa (haki, uhuru, demokrasia, etc) tungeogopa vipi "kuchema?"

a) "Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM"

b) "Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama."

7. South Afrika wanapokomaa na Israel, na kuiacha dunia nzima midomo wazi, tujue hao wamewiva, si wenzetu!

8. Bila kuwiva kifalsafa tutamlaani sana dobi:

FutD12pWIAEjDDU.jpeg


9. Hapo #8, kaniki ni rangi yake!
 
Back
Top Bottom