Uchaguzi 2020 CHADEMA/ACT Kutokugombea Ruangwa kutaonyesha nyie ni dhaifu

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Kuna taarifa kuwa mipango inafanywa kwa hali na mali kuhakikisha kuwa PM wa sasa Majaliwa anapita bila kupingwa na chama chochote uchaguzi wa Ubunge.

Hiyo itakuwa ishara mbaya sana na hatutawaelewa zaidi ya kuona viongozi mnanunulika inapobidi.

Hakikisheni hilo halifanikiwi kwa kulisimamia toka taifani na sio kuwaachia walioko Ruangwa pekee.
 
Kwa cdm siamini kama wanaweza kufanya huo upuuzi maana kama wameweka wagombea hata nyumbani kwa rais itakuwa pm?
 
Sijaiona hiyo orodha namba 2. Lakini hata hivyo habari za Jana zilihusu kundi la watu lililokuwa linamsaka mgombea ubunge wa Chadema na kumlazimisha Katibu aonyeshe aliko
Mkuu wachana na habari za hao wana propaganda wa lumumba, cdm haipo dhaifu kiasi hicho
 
Shida sio udhaifu wa Chadema, Bali mbinu zinazotumika na ccm na polisi ili wateuliwa hao wa vyama wasifanikiwe kuchukua fomu na kurudisha.
Jana habari hiyo ilikuwepo humu
 
Kuna taarifa kuwa mipango inafanywa kwa hali na mali kuhakikisha kuwa PM wa sasa Majaliwa anapita bila kupingwa na chama chochote uchaguzi wa Ubunge.

Hiyo itakuwa ishara mbaya sana na hatutawaelewa zaidi ya kuona viongozi mnanunulika inapobidi.

Hakikisheni hilo halifanikiwi kwa kulisimamia toka taifani na sio kuwaachia walioko Ruangwa pekee.
Si uende wewe uchukue form uone kama unazuiwa na chama chako?
Hizo story unamwambia nani wakati wewe ni mtanzania unaweza gombea sehemu yoyote?
Nenda kajipime na PM na sio kusukuma wenzako.
 
Unaongea utoto gani dogo?
 
Si uende wewe uchukue form uone kama unazuiwa na chama chako?
Hizo story unamwambia nani wakati wewe ni mtanzania unaweza gombea sehemu yoyote?
Nenda kajipime na PM na sio kusukuma wenzako.
Pumbaf we we! Umeelewa mada au unadandia bila kutumia akili?
Watu waliopitishwa na vyama vyao wanafanyiwa figisu kuchukua fomu NEC ili apite bila kupingwa.
Next time usini quote bila kutumia akili kwanza, Mimi sio hao mbulula wenzako wa ccm.
 
Yaani mnataka Mhe Waziri Mkuu naye ahenye! Apite kwa Mbiiiinde au ikiwezekana ashindwe kabisa, duh! Ila Siasa hatari sana. Yaani ashindwe KWENDA kutekeleza majukumu ya Serikali.
 
sisi kwenye kampeni zetu tutaenda kuwaelewesha shangazi zake Majaliwa kuwa mtoto wao aliwatelekeza wavunjwe viuno kwa amri ya boss wake kwasababu tu wanadai pesa zao za malipo ya korosho.
 
Back
Top Bottom