Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Yupo kwenye Orodha ya kwanzaHii orodha ya pili hayumo, labda tusubiri ya tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo kwenye Orodha ya kwanzaHii orodha ya pili hayumo, labda tusubiri ya tatu
Yaani mnataka Mhe Waziri Mkuu naye ahenye! Apite kwa Mbiiiinde au ikiwezekana ashindwe kabisa, duh! Ila Siasa hatari sana. Yaani ashindwe KWENDA kutekeleza majukumu ya Serikali.
Nimesikia wagombea wa CDM na ACT Ruangwa wamepigwa sana na kujeruhiwa na watu wasiojulikana, huu ni mwendelezo wa hujuma kwa wapinzani. MKM aingie mtaani kama anataka kufanya siasa na sio kuomba aachiwe ubunge.Kuna taarifa kuwa mipango inafanywa kwa hali na mali kuhakikisha kuwa PM wa sasa Majaliwa anapita bila kupingwa na chama chochote uchaguzi wa Ubunge.
Hiyo itakuwa ishara mbaya sana na hatutawaelewa zaidi ya kuona viongozi mnanunulika inapobidi.
Hakikisheni hilo halifanikiwi kwa kulisimamia toka taifani na sio kuwaachia walioko Ruangwa pekee.