Basi huyo mgombea wa Chadema apewe cheo kingine!Sijaiona hiyo orodha namba 2. Lakini hata hivyo habari za Jana zilihusu kundi la watu lililokuwa linamsaka mgombea ubunge wa Chadema na kumlazimisha Katibu aonyeshe aliko
Kwa cdm siamini kama wanaweza kufanya huo upuuzi maana kama wameweka wagombea hata nyumbani kwa rais itakuwa pm?Kuna taarifa kuwa mipango inafanywa kwa hali na mali kuhakikisha kuwa PM wa sasa Majaliwa anapita bila kupingwa na chama chochote uchaguzi wa Ubunge.
Hiyo itakuwa ishara mbaya sana na hatutawaelewa zaidi ya kuona viongozi mnanunulika inapobidi.
Hakikisheni hilo halifanikiwi kwa kulisimamia toka taifani na sio kuwaachia walioko Ruangwa pekee.
Mkuu wachana na habari za hao wana propaganda wa lumumba, cdm haipo dhaifu kiasi hichoSijaiona hiyo orodha namba 2. Lakini hata hivyo habari za Jana zilihusu kundi la watu lililokuwa linamsaka mgombea ubunge wa Chadema na kumlazimisha Katibu aonyeshe aliko
Shida sio udhaifu wa Chadema, Bali mbinu zinazotumika na ccm na polisi ili wateuliwa hao wa vyama wasifanikiwe kuchukua fomu na kurudisha.Mkuu wachana na habari za hao wana propaganda wa lumumba, cdm haipo dhaifu kiasi hicho
CDM ni dhaifu Sana, utakuja na sababu za ovyo kujitetea kwanini hamkuweka mgombea kwenye Hilo Jimbo. Huo ni mwanzo mnaanza kujiuza.Mkuu wachana na habari za hao wana propaganda wa lumumba, cdm haipo dhaifu kiasi hicho
Yuko kwenye orodha ya kwanza.Sijaiona hiyo orodha namba 2. Lakini hata hivyo habari za Jana zilihusu kundi la watu lililokuwa linamsaka mgombea ubunge wa Chadema na kumlazimisha Katibu aonyeshe aliko
Kinachofanyika Ruangwa sio kujiuza Bali ubabe na uhuni wa kishambaCDM ni dhaifu Sana, utakuja na sababu za ovyo kujitetea kwanini hamkuweka mgombea kwenye Hilo Jimbo. Huo ni mwanzo mnaanza kujiuza.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Si uende wewe uchukue form uone kama unazuiwa na chama chako?Kuna taarifa kuwa mipango inafanywa kwa hali na mali kuhakikisha kuwa PM wa sasa Majaliwa anapita bila kupingwa na chama chochote uchaguzi wa Ubunge.
Hiyo itakuwa ishara mbaya sana na hatutawaelewa zaidi ya kuona viongozi mnanunulika inapobidi.
Hakikisheni hilo halifanikiwi kwa kulisimamia toka taifani na sio kuwaachia walioko Ruangwa pekee.
Si uende wewe uchukue form uone kama unazuiwa na chama chako?
Hizo story unamwambia nani wakati wewe ni mtanzania unaweza gombea sehemu yoyote?
Nenda kajipime na PM na sio kusukuma wenzako.
Pumbaf we we! Umeelewa mada au unadandia bila kutumia akili?Si uende wewe uchukue form uone kama unazuiwa na chama chako?
Hizo story unamwambia nani wakati wewe ni mtanzania unaweza gombea sehemu yoyote?
Nenda kajipime na PM na sio kusukuma wenzako.
Edgar Fakiri.Yuko kwenye orodha ya kwanza.