Uchaguzi 2020 CHADEMA/ACT Kutokugombea Ruangwa kutaonyesha nyie ni dhaifu

Yaani mnataka Mhe Waziri Mkuu naye ahenye! Apite kwa Mbiiiinde au ikiwezekana ashindwe kabisa, duh! Ila Siasa hatari sana. Yaani ashindwe KWENDA kutekeleza majukumu ya Serikali.

Huyo ni waziri mkuu wa ccm, apite bila kupingwa huko huko ccm, sio kwenye uchaguzi mkuu.
 
Tena Waziri anatakiwa awe na Upinzani uliokomaa kama John Heche, Lema, Msigwa, Zitto nk sio ateuliwe mgombea duni asishtua waliko madarakani
 
Nimesikia wagombea wa CDM na ACT Ruangwa wamepigwa sana na kujeruhiwa na watu wasiojulikana, huu ni mwendelezo wa hujuma kwa wapinzani. MKM aingie mtaani kama anataka kufanya siasa na sio kuomba aachiwe ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…