CHADEMA, ACT Wamkaribisha kwa Shangwe Dkt. Samia Suluhu mkoani Lindi

kalacha mateo

Senior Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
119
Reaction score
240
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo alishiriki kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ambapo kitaifa yalifanyika mkoani Lindi. Mapokezi ya Rais Samia mkoani Lindi yalihudhuriwa na wananchi mbalimbali wakiwemo wananchama wa vyama vya Upinzani kama CHADEMA na ACT.

Wanachana hao walisikia wakisema siasa si uadui, Kuhudhuria mapokezi hayo ni kwasababu wameiona kazi inayofanywa na serikali ya awamu ya sita ambayo Rais Samia ndiye anayeiongoza.
Your browser is not able to display this video.
 
chadema haina wanachama wajingawajinga kama hao, hayo ni matakataka ya ccm yaliyovalishwa mavaz ya chadema.
 
chadema haina wanachama wajingawajinga kama hao, hayo ni matakataka ya ccm yaliyovalishwa mavaz ya chadema.
Unataka kujifanya unawajua wanachama wa chadema nchini nzima baba ako Mbowe mwenyewe hawajui tulia
 
Hii ni Serikali ya Awamu ya Tano. Watanzania hatujafanya Uchaguzi wa Viongozi wa Awamu ya Sita kuwa na akili basi
 
Siasa za maendeleo.πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Jambo jema sana maana Rais ni wa watanzania wote na sio wa chama kweli Rais Samia Suluhu anapendwa sana na wananchi wake
 
Mbona watatu?
 
Unataka kujifanya unawajua wanachama wa chadema nchini nzima baba ako Mbowe mwenyewe hawajui tulia

Hivi wale waliokuwa wanavaa t-shirt za bavicha na kuitisha press conference kumnanga Mbowe waliishia wapi?
 
Mbona wapo watatu tu?
 
Jambo jema sana maana Rais ni wa watanzania wote na sio wa chama kweli Rais Samia Suluhu anapendwa sana na wananchi wake

Na wewe umeamini. Hi nchi kila kitu tunailzimisha CHADEMA ili kupata uhalali.
 
Samia hapendi haya maigizo yenu,hatupingi wanachadema kumpokea Rais,lakini kwa nini maigizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…