Hata vikiungana vyama vyote vya Afrika nzima haviwezi kuiondoa CCM.
Kitu pekee cha kuiondoa CCM ni kubadilisha mfumo wote wa kiutawala nchini,kitu ambacho ni kigumu kwa kuwa wanaoshikilia huo mfumo ni wao wenyewe.
Njia nyingine iliyopo ni watu kwenda front kwa njia ya Upanga-kitu ambacho napo ni kigumu kwa kuwa Nyerere aliwaongoza watu kwa njia ya hofu na uoga-watu wamekuwa wakirithishana vizazi. A vizazi.
Njia pekee ni kuomba CCM wawe wanachagua viongozi aina ya Magufuli-kitu ambacho hawatakuja kurudia hilo kosa tena.
So,tusubiri miujiza.
Kulikuwepo na ukawa tukaamini ndo suliisho ila mzee dj na mzee white wakapiga dili wakakivurugaUmeongea kweli. Lakini wakiungana Kuna nguvu watajenga ya kuitikisa system na kubadilisha kwa njia ya katiba Mpya.
Hata waungane wote, bila Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Katiba Mpya hakuna kitu ni wizi wizi tu. Polisi, wakurugenzi na watendaji watenganishwe na mambo ya uchaguzi. Huwezi kuwa mchezaji na refa kwa wakati mmoja.Nilichokiona kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni kwamba wananchi Wana muamko wa kupigia kura upinzani shida upinzani umegawanyika.
Nina shauri ya kwamba upinzani wafikirie kutengeneza alliance ambapo wataungana 2025 na kuwa na mgombea mmoja wa urais, ubunge na udiwani kwa kuangalia chama gani kinakubalika kwa eneo.
2025 msimame pamoja kwa Hila za CCM kila chama kikisimama chenyewe hakuna litakalopatikana.
waipe jina la Second Failed Alliance (SFA) after UKAWA na itapendeza zaid gentleman 🐒Nilichokiona kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni kwamba wananchi Wana muamko wa kupigia kura upinzani shida upinzani umegawanyika.
Nina shauri ya kwamba upinzani wafikirie kutengeneza alliance ambapo wataungana 2025 na kuwa na mgombea mmoja wa urais, ubunge na udiwani kwa kuangalia chama gani kinakubalika kwa eneo.
2025 msimame pamoja kwa Hila za CCM kila chama kikisimama chenyewe hakuna litakalopatikana.