CHADEMA: Akaunti zetu za chama za YouTube na X (Twitter) zimedukuliwa

Sasa msingemvamia mdude usiku mngeacha watanzania wamajibishe hata Padri kitima msingemvamia pia. Watu wakisema wasakane sababu hata polisi Wana ndugu na wanaishi mitaani ukaanza ooh watanzania tunanjia zetu.
Sasa Wewe ungekua na akili ungetumwa kuuwa na kweli unaenda kuuwa?.
EEEEeenHEEEEE!
Unapovurugwa na bangi kichwani, kaa huko huko na hizo bangi. Usizilete humu JF.

Watu kama wewe ndio mnaotumiwa kutekeleza utoaji wa roho za watu, kwa sababu hamtumii akili. Mnafanya tu mnavyoagizwa basi.

Ngoja nirudie tena, ikiwezekana bangi kuwa zimepungua kidogo kichwani mwako utaelewa ninachoeleza.
Ni hivi: watu kama wewe, mnaotumwa tu kwenda kutoa roho za watu, hata waTanzania wakiwashughulikia nyinyi na kuwaua, haitasaidia chochote, kwa sababu hao wanaohusika na uamzi wa kuua bado wataendelea kutumia wenzio kuendeleza mauaji ya waTanzania.

Tunachotaka kifanyike, ni kuwalenga hao, wanaowatuma nyinyi. Hao ndio watadhibitiwa. Ikiwa hivyo, nyinyi mtakosa kazi hiyo ya kuwaondoa waTanzania roho zao.
 
Maelezo meeengi alafu Amna kitu. Zaidi ya kutaja bangi.
 
Naona nimegonga penyewe mkuu.
Achana na bangi za kidini; hazitakufikisha popote.

Kaa na bangi yako kama mTanzania mwenzetu, hakuna atakayekusumbua; lakini unapotaka kutuvuruga kwa sababu ya kilevi chako hicho, ni lazima tukuzuie kwa njia yoyote iwezekanayo.
 
Mimi uwezi kunizuia kwa chochote. Kaa endelea kusikiliza wanaokutuma kuuwa ukauwe.
Bange za kidini ni nzuri sana sababu hakuna mpumbavu atanituma nikafanya uovu au kuuwa nikamkubalia. Kama unavyokubali wewe.
 
Baki hivyo hivyo, kama unavyodai kukuhusu wewe ni ya kweli. Hata hivyo; achana na Bangi hizo za kidini
 
Back
Top Bottom