Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika.
Lakini pale ambapo inatokea viongozi wateuliwa wa CCM kama Chalamila wanatoa kauli za kubeza wananchi, kwa mfano huyu mama aliempigia simu Chalamila kusema analazimishwa kutoa Tshs 50,000 ili wamhudumie kujifungua, halafu Chalamila anamjibu kama hhutaki kutoa hiyo hela chukua bajaji nenda nyumbani kwako mwambie mumeo achukue kisu na mkasi akutoe mtoto, hizo ni kauli zilizokosa staha, zenye kuonyesha kiburi na majivuno ya uongozi wa CCM kwa wananchi wake.
Sababu ni kwamba Watanzania tunatozwa kodi katika maeneo mengi sana, lakini fedha hizi za kodi zetu zinaonekana kuwanufaisha watu wachache kama kina Chalamila katika matumizi yao ya anasa kutia ndani na mambilioni wanayotumia kama posho, kununua magari ya kifahari nk. Na hata kama wananchi, pamoja na mlolongo wa kodi wanazokatwa, wanatakiwa kuchangia gharama za hospitali, wananchi wanapohoji kitu lazima ajibiwe kwa heshima na ustaarabu.
Tumuulize Chalamila; jibu alilompta huyu mama linaendama na imani ya CCM kwamba kila mtu anastahili heshima? Au huo ndio msimamo wa Raisi Samia ambaye nae ni mwanamke anaejua maana ya kujifungua? Vipi wakati Samia akijifungua mwanae Abdul angepewa jibu la namna hii na mkuu wa mkoa wa wakati huo?
Huduma za kujifungua ni mojawapo ya huduma dharula ambazo hazipaswi kuwekewa masharti ya leta hiki na kile kabla hatujakuhudumia. Hizi tozo nyingi mnazotutoza elekezeni huko badala ya kujibadilishia magari makubwa ya serikali kila baada ya miaka mitatu.
Inafikia mahali viongozi wa CCM wanawaita wananchi wasio na uwezo ni wazembe? Hawajui tena shida za wananchi kwa sababu wao wana hela za ufisadi?
Ni wazi hawa watu wa CCM wamelewa madaraka na kujiamini kwamba hata wakiwatukana wanachi na kuwakebehi, wataendelea kuwa madarakani. Chadema, vitu kama hivi vitumieni kuwaamsha wananchi juu ya ukweli wa aina ya watu wanaojiita viongozi wao
JIbu ni hili Mkuu; "Usimpuuze mjinga, mwelimishe. La sivyo atajikusanya na wajinga wenzake na watatumia nguvu yao ya wajinga wengi kukuchagulia mbunge au hata raisi mjinga kama wao"
Aulizwe Mwigulu, Ummy/Jenista, katibu mkuu afya; hela wanazopewa na donors mahususi kwa ajili ya kupunguza vifo vya uzazi wanapeleka wapi kama ata gloves hawana.
Kesho utawaona tena wanapiga picha na wazungu wakiomba msaada wa kifedha kupunguza vifo vya uzazi, wakipewa wanazitafuna.
Mheshimiwa asamehewe ulimi umeteleza. Kwa kauli hiyo vifo vya watoto na WA mama wajawazito vitakuwa vingi na juhudi za serikali kupunguza vifo hazitafanikiwa.
Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika.
Lakini pale ambapo inatokea viongozi wateuliwa wa CCM kama Chalamila wanatoa kauli za kubeza wananchi, kwa mfano huyu mama aliempigia simu Chalamila kusema analazimishwa kutoa Tshs 50,000 ili wamhudumie kujifungua, halafu Chalamila anamjibu kama hhutaki kutoa hiyo hela chukua bajaji nenda nyumbani kwako mwambie mumeo achukue kisu na mkasi akutoe mtoto, hizo ni kauli zilizokosa staha, zenye kuonyesha kiburi na majivuno ya uongozi wa CCM kwa wananchi wake.
Sababu ni kwamba Watanzania tunatozwa kodi katika maeneo mengi sana, lakini fedha hizi za kodi zetu zinaonekana kuwanufaisha watu wachache kama kina Chalamila katika matumizi yao ya anasa kutia ndani na mambilioni wanayotumia kama posho, kununua magari ya kifahari nk. Na hata kama wananchi, pamoja na mlolongo wa kodi wanazokatwa, wanatakiwa kuchangia gharama za hospitali, wananchi wanapohoji kitu lazima ajibiwe kwa heshima na ustaarabu.
Tumuulize Chalamila; jibu alilompta huyu mama linaendama na imani ya CCM kwamba kila mtu anastahili heshima? Au huo ndio msimamo wa Raisi Samia ambaye nae ni mwanamke anaejua maana ya kujifungua? Vipi wakati Samia akijifungua mwanae Abdul angepewa jibu la namna hii na mkuu wa mkoa wa wakati huo?
Huduma za kujifungua ni mojawapo ya huduma dharula ambazo hazipaswi kuwekewa masharti ya leta hiki na kile kabla hatujakuhudumia. Hizi tozo nyingi mnazotutoza elekezeni huko badala ya kujibadilishia magari makubwa ya serikali kila baada ya miaka mitatu.
Ni wazi hawa watu wa CCM wamelewa madaraka na kujiamini kwamba hata wakiwatukana wanachi na kuwakebehi, wataendelea kuwa madarakani. Chadema, vitu kama hivi vitumieni kuwaamsha wananchi juu ya ukweli wa aina ya watu wanaojiita viongozi wao
Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika.
Lakini pale ambapo inatokea viongozi wateuliwa wa CCM kama Chalamila wanatoa kauli za kubeza wananchi, kwa mfano huyu mama aliempigia simu Chalamila kusema analazimishwa kutoa Tshs 50,000 ili wamhudumie kujifungua, halafu Chalamila anamjibu kama hhutaki kutoa hiyo hela chukua bajaji nenda nyumbani kwako mwambie mumeo achukue kisu na mkasi akutoe mtoto, hizo ni kauli zilizokosa staha, zenye kuonyesha kiburi na majivuno ya uongozi wa CCM kwa wananchi wake.
Sababu ni kwamba Watanzania tunatozwa kodi katika maeneo mengi sana, lakini fedha hizi za kodi zetu zinaonekana kuwanufaisha watu wachache kama kina Chalamila katika matumizi yao ya anasa kutia ndani na mambilioni wanayotumia kama posho, kununua magari ya kifahari nk. Na hata kama wananchi, pamoja na mlolongo wa kodi wanazokatwa, wanatakiwa kuchangia gharama za hospitali, wananchi wanapohoji kitu lazima ajibiwe kwa heshima na ustaarabu.
Tumuulize Chalamila; jibu alilompta huyu mama linaendama na imani ya CCM kwamba kila mtu anastahili heshima? Au huo ndio msimamo wa Raisi Samia ambaye nae ni mwanamke anaejua maana ya kujifungua? Vipi wakati Samia akijifungua mwanae Abdul angepewa jibu la namna hii na mkuu wa mkoa wa wakati huo?
Huduma za kujifungua ni mojawapo ya huduma dharula ambazo hazipaswi kuwekewa masharti ya leta hiki na kile kabla hatujakuhudumia. Hizi tozo nyingi mnazotutoza elekezeni huko badala ya kujibadilishia magari makubwa ya serikali kila baada ya miaka mitatu.
Ni wazi hawa watu wa CCM wamelewa madaraka na kujiamini kwamba hata wakiwatukana wanachi na kuwakebehi, wataendelea kuwa madarakani. Chadema, vitu kama hivi vitumieni kuwaamsha wananchi juu ya ukweli wa aina ya watu wanaojiita viongozi wao View attachment 3214787

Aombe radhi ya Nini mbona Yuko sahihi ujauzito sio ajali watanzania waambiwe ukweli wajifunze kuwajibika kama hawawezi kuwajibika wasizae kabisa mtu Hana elfu 5 ya groves ataleaje huyo mtoto hao ndo wanao zaa machokoraa, vibaka na madada poa