PreGE2025 CHADEMA andaeni Mkutano maalum wa kuwatangaza maadui wakuu wa Demokrasia na Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,949
CHADEMA na hata ACT Wazalendo kila mara wamemtaja hayati Magufuli ndiye aliyeharibu demokrasia na haki za watu, LAKINI kuendelea kumsema marehemu ni kupoteza muda. Maana hata kama ikiwa ni kweli, marehemu huwa haadhibiwi. Tuangalie waliopo.

Ni ukweli ulio wazi kuwa uchaguzi wa 2024 ulikiwa wa hovyo, mbaya na wa kishetani kuliko hata wa 2019.

Uchaguzi wa 2019, wagombea wa upinzani walikatwa majina yao, lakini angalao hawakuuawa.

LAKINI uchaguzi wa 2024, wagombea wa upinzani walikatwa majina yao, na wale ambao majina yalirudishwa, walioonekana ni vigumu kuwadhulumu ushindi wao.

Uchaguzi wa 2024 umefanyika chini ya utawala wa Samia, msimamizi mkuu wa zoezi zima la uchaguzi alikuwa ni waziri wa TAMISEMI, mwanafamilia wa Rais, ambaye alisifiwa na Rais kuwa ana kifua kipana.

Licha ya wananchi wengi, wakiwemo viongozi wa dini kuulaani uchaguzi huo kuwa haukuwa huru wala wa haki, hakuna mtu hata mmoja aliyechukuliwa hatua, akiwemo Mchengerwa. Hii ina maana yaliyotendeka kwenye uchaguzi wa 2024 ama yalikuwa ni maagizo ya Rais Samia au yana baraka zake.

Na kama huo ndio ukweli wenyewe, CHADEMA, kabla ya kumtangaza Makalla kuwa mtu wa hovyo kuliko Watanzania wote, kwa nini wasiwatangaze kwanza Rais Samia na Mchengerwa kuwa ndio maadui wakuu wa demokrasia nchini na Duniani? Na kwa vile demokrasia ni miongoni mwa nguzo kuu za ustawi wa Taifa, automatically wanakua maadui wakuu wa Taifa.
 
LAKINI uchaguzi wa 2024, wagombea wa upinzani walikatwa majina yao, na wale ambao majina yalirudishwa, walioonekana ni vigumu kuwadhulumu ushindi wao, baadhi waliuawa. Majina ya waliouawa yapo wazi.

Uchaguzi wa 2024 umefanyika chini ya utawala wa Samia, msimamizi mkuu wa zoezi zima la uchaguzi alikuwa ni waziri wa TAMISEMI, mwanafamilia wa Rais, ambaye alisifiwa na Rais kuwa ana kifua kipana.

Licha ya wananchi wengi, wakiwemo viongozi wa dini kuulaani uchaguzi huo kuwa haukuwa huru wala wa haki, hakuna mtu hata mmoja aliyechukuliwa hatua, akiwemo Mchengerwa. Hii ina maana yaliyotendeka kwenye uchaguzi wa 2024 ama yalikuwa ni maagizo ya Rais Samia au yana baraka zake.

Na kama huo ndio ukweli wenyewe, CHADEMA, kabla ya kumtangaza Makalla kuwa mtu wa hovyo kuliko Watanzania wote, kwa nini wasiwatangaze kwanza Rais Samia na Mchengerwa kuwa ndio maadui wakuu wa demokrasia nchini na Duniani? Na kwa vile demokrasia ni miongoni mwa nguzo kuu za ustawi wa Taifa, automatically wanakua maadui wakuu wa Taifa.

..2019 wagombea wa Chadema hawakuumizwa, wala kuuwawa, kwasababu chama kilisusia uchaguzi.
 
No reform no election ni agenda ya Lisu hana hela za kampeni kugombea uraisi anasukumizia watia nia ubunge na udiwani wakati wamejipanga kibinafsi kugombea kwa pesa zao maeneo yao

Yeye sababu hela hana za kampeni za uraisi anajitia ooh marufuku
.kwenye ugombea kila mgombea aoambane na hali yake awe mgombea uraisu,ubunge au udiwani

Kila mtu apambane na hali yake asitegemee michango ya Tone tone awe mgombea uraisi Lisu, au mgombea ubunge au udiwani
.Lisu apambane na halu yake
 
Hao wagombea wa udiwani na ubunge, hamtawaengua? Hamtapora kura zao? Wakielekea kujiandaa kupambana mnapoiba kura, hamtawaua kama mlivyofanya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024?

Watia nia wapo wengi, lakini hakuna mwendawazimu ambaye atakuwa tayari kushiriki ushetani wa CCM kwenye uchaguzi, kwa maana yeye mwenyewe mgombea au wapiga kampeni wake wanaweza kuishia kuuawa na manyang'au ya CCM na mawakala wao.
 
CHADEMA na hata ACT Wazalendo kila mara wamemtaja hayati Magufuli ndiye aliyeharibu demokrasia na haki za watu, LAKINI kuendelea kumsema marehemu ni kupoteza muda. Maana hata kama ikiwa ni kweli, marehemu huwa haadhibiwi. Tuangalie waliopo.

Ni ukweli ulio wazi kuwa uchaguzi wa 2024 ulikiwa wa hovyo, mbaya na wa kishetani kuliko hata wa 2019.

Uchaguzi wa 2019, wagombea wa upinzani walikatwa majina yao, lakini angalao hawakuuawa.

LAKINI uchaguzi wa 2024, wagombea wa upinzani walikatwa majina yao, na wale ambao majina yalirudishwa, walioonekana ni vigumu kuwadhulumu ushindi wao.

Uchaguzi wa 2024 umefanyika chini ya utawala wa Samia, msimamizi mkuu wa zoezi zima la uchaguzi alikuwa ni waziri wa TAMISEMI, mwanafamilia wa Rais, ambaye alisifiwa na Rais kuwa ana kifua kipana.

Licha ya wananchi wengi, wakiwemo viongozi wa dini kuulaani uchaguzi huo kuwa haukuwa huru wala wa haki, hakuna mtu hata mmoja aliyechukuliwa hatua, akiwemo Mchengerwa. Hii ina maana yaliyotendeka kwenye uchaguzi wa 2024 ama yalikuwa ni maagizo ya Rais Samia au yana baraka zake.

Na kama huo ndio ukweli wenyewe, CHADEMA, kabla ya kumtangaza Makalla kuwa mtu wa hovyo kuliko Watanzania wote, kwa nini wasiwatangaze kwanza Rais Samia na Mchengerwa kuwa ndio maadui wakuu wa demokrasia nchini na Duniani? Na kwa vile demokrasia ni miongoni mwa nguzo kuu za ustawi wa Taifa, automatically wanakua maadui wakuu wa Taifa.
1. MAKALLA
2. TULIA
3. WASIRA
4. MSIGWA
 
View: https://x.com/swahilidigital_/status/1906104673334857946?t=3CG9sD1jJJASbQHgIUJAWA&s=19
 
Namba 1, lazima iwe ya Samia. Na Mchengerwa hawezi kuwa chini ya namba 3. Si umeona walichokifanya 2024?
sure Mama nimemuacha makusudi lakini mwenye akili kama wewe umengamua! Mchengerwa awe namba 1 baada ya mama
 
Back
Top Bottom