natumbaku Chambeho
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 551
- 209
Ndio muonekano wa chadema ulivyo sasa. Hawa asili akiwemo Slaa wamebaki kupigwa butwaa hawaamini yanayotokea na yanayoendelea chamani.
CHADEMA Mbowe wao wanaamini uamuzi wa kubadilishia gia angani ulikuwa sahihi kabisa. Lakini wana jambo bado linawasumbua nafsini mwao hawana uhakika, je Lowassa ndie aliomba kujiunga na CHADEMA au mwenyekiti ndie alimshawishi kuingia CHADEMA, kwa makubaliano gani?
CHADEMA Lowassa wao wamekuwa wenyeji kuliko hata walio wakaribisha chamani, kiu yao ya kuupata urais ndio imepamba moto, wanaendeleza mikakati yao. Tumewaona mitaani wakiusaka urais kwa udi na uvumba hawana habari tena na waliowakuta chamani wana mipango na mikakati yao tofauti.
Nauliza, kwa utaratibu huu wa kila mwamba ngoma kuvutia kwake kuna la maana litakalo patikana Oktoba 25?
Tusubiri tuone, maana walianza na Mungu wakaona anawachelewesha wameamua kuwahi kwa kumaliza na Lowassa na fedha zake.