Elections 2015 CHADEMA Asili, CHADEMA Mbowe, CHADEMA Lowassa

Elections 2015 CHADEMA Asili, CHADEMA Mbowe, CHADEMA Lowassa

Mimi ninavyojua ni kwamba mtu yeyote mwenye hoja zenye matusi ndiye lofa na mpumbavu. Kwa sababu watanzania wa leo sio wa 1954, kuna mabadiliko makubwa sana. Hata waliokuwapo Enzi zile wamebadilika leo, sio walewale. Waaliobaki ndio wale wasioelewa kabisa hata kama unawaelewesha kwa pump vichwani mwao.
 
Najisikia vizuri sana kuona CCM anajificha kwenye kivuli cha Chadema.ni dalili ya uwoga
 
Jamani hizi nyuzi zinz Lengo la kuleta mgawanyiko CHADEMA kuweni makini na watu hawa

Kuleta au tayari upo? Kama huna habari kaa humu upate taarifa zaidi.
Mpasuko upo muda tu. Cheki mikutano yote ya Lowassa kama utamwona Mnyika au Mdee. Hata katika mkutano mkuu baadhi walikwenda na kukaa nyuma. Nenda Ufipa ukajionee.
Usikae kwenye mtandao ukidhani all is well.
 
Back
Top Bottom