Mimi ninavyojua ni kwamba mtu yeyote mwenye hoja zenye matusi ndiye lofa na mpumbavu. Kwa sababu watanzania wa leo sio wa 1954, kuna mabadiliko makubwa sana. Hata waliokuwapo Enzi zile wamebadilika leo, sio walewale. Waaliobaki ndio wale wasioelewa kabisa hata kama unawaelewesha kwa pump vichwani mwao.