CHADEMA au UKAWA kwa upande wa Kenya tunamsuport Kenyatta au Odinga?

CHADEMA au UKAWA kwa upande wa Kenya tunamsuport Kenyatta au Odinga?

Mh mleta mada; nafikiri unahitaji ugali wa moto upashe brain joto!
Ya ngoswe mwachie ngoswe....
tuna nnchi yetu wana yao, wataka ukawasaidie kupiga kura?
nadhani tuna mengi ya kufanya ,tuache umbea/ushabiki usio na msingi
 
Back
Top Bottom