CHADEMA: Baada ya Biharamulo; Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2010

Naungana na MZee mwanakijiji kwa wakati ule na hivi sasa najua kuwa kura zimeibwa na CCM tatizo ni tume ya Uchaguzi Siyo watu kabisa
 
SERA za CHADEMA the said chama mbadala hazieleweki ,maana wanasema watafanya hiki na kile je fedha za kufanya hivyo watazitowa wapi? mimi nafikiri sera lazima isapotiwe na mkakati pia mchakato wa kuiwezesha sera.

mfano Kusema watatujengea mabomba yanayotowa maziwa bila kuonyesha njisi na namna mie nafikiri ni ulaghai ulio kubuhu, nipo hapa nasubiri makobora.
 
hela za kodi ndio zitatumika
lazima uelewe ni vigumu sana chadema kuweka kila sera in details kwa ajili hawajui mapato na matumizi halisi ya serikali
kila kitu unaambiwa utahatarisha usalama wa taifa

chadema hawajui ni kiasi gani cha ukweli kinapatikana na kinachotumika kwa ajili mambo mengi ni siri

chadema wa susie uchaguzi on the grounds ya tume huru na si vinginevyo, sikubaliani kususia uchaguzi kwa sababu alizozitoa mwanakijiji
1. NI dhahiri kwamba umaarafu wa chadema umekuwa kwa kila jimbo waliloshiriki kwenye uchaguzi mdogo. chadema wamepata mvuto busanda na biharamullo kwa ajili wameshiriki, wasingeshiriki chama kingine ndio kingepata mvuto.
2. chadema haina pesa walizokuwa nazo ccm na ruzuku haitoshi kukifanya chama kikue, lakini kila chaguzi ndogo wanayoshiriki wanapewa hela ya kampeni ambazo zinawasaidia kupata wanachama wapya kwenye hilo jimbo la uchaguzi
3. chaguzi ndogo zinawawezesha viongozi wote wa chadema taifa kuwekeza kwenye jimbo moja na hivyo kukifanya chama kiwe na nguvu zaidi. Lazima uwele chadema ina viongozi kidogo ambao wanaushawishi sio kama ccm inaweza ikawapeleka watu kama wakina mwinyi kwenye campaign zao. Chadema ni mbowe,zitto, slaa na viongozi wa chache kwa hiyo hawawezi kutapakaa kama hivyo watu mnavyodhania na hawawezi siku zote kuwa kwenye campaign kwa sababu(fatigue + financial).
 
SERA za CHADEMA the said chama mbadala hazieleweki ,maana wanasema watafanya hiki na kile je fedha za kufanya hivyo watazitowa wapi? mimi nafikiri sera lazima isapotiwe na mkakati pia mchakato wa kuiwezesha sera.

mfano Kusema watatujengea mabomba yanayotowa maziwa bila kuonyesha njisi na namna mie nafikiri ni ulaghai ulio kubuhu, nipo hapa nasubiri makobora.

Kwani mwenzetu unafikiri CCM wanatumia pesa zao??

Kwa taarifa yako kama TZ tungeweza kukusanya mapato yetu sawasawa na kusimamia raslimali zetu vizuri hata hiy misaada hatuihitaji.

Hebu angalia pesa kiasi gani zimepotea serikalini kupitia kwa mafisadi kwa kipindi cha miiaka miwili au mitatu halafu fikiria hizo pesa zingeweza kujenga nini then u-conclude mwenyewe.
 
MkamaP, usikurupuke kuandika Mkuu, unazoheshma za kutosha hapa JF at least kutoka kwangu. Hii hoja yako umekurupuka. Mapato ya Serikali si mapato ya chama fulani. Sera za chama zinatoa mwelekeo tu, yaani vipaumbele na falsafa/msimamo wa maendeleo.

Najua kuwa unayajua haya yote, ila umekurupuka tu kuandika. Kila la kheri mzee wa propaganda.
 
Mbona ccm wanashinda kwa sera zile zile na wizi? Kwanini wao wabadirishe speed ambayo inawasaidia? Mie naona waendelee tu hivyo hivyo manake naona ccm wameshazoea na ni vizuri zaidi kuwakalia kidedea hivi hivi.sera ya ufisadi ndio inanguvu sasa hivi waendelee kuitumia pamoja na waongezee uliyashauri mwanakijiji .lakini haya mambo ya kutoshiriki wapeleke nguvu kwingine na huko kukitokea hivyo hivyo utawaambia tena wasishiriki waende kweingine?
 
Mkuu mimi nataka hizo challenge mkuu hizo heshima mimi binafsi sizihitaji sana bila kuona mlolongo mzuri .

CHADEMA sera zao hazionyeshi jinsi watakavyotutowa kwa namna walivyoziweka ni ubadhirifu ama ulaghai .huwezi sema kila mkulima atapewa ng'ombe afuge maziwa from where? hiyo ndo hoja
 
Mbona ccm wanashinda kwa sera zile zile na wizi? Kwanini wao wabadirishe speed ambayo inawasaidia? Mie naona waendelee tu hivyo hivyo manake naona ccm wameshazoea na ni vizuri zaidi kuwakalia kidedea hivi hivi.sera ya ufisadi ndio inanguvu sasa hivi waendelee kuitumia pamoja na waongezee uliyashauri mwanakijiji .lakini haya mambo ya kutoshiriki wapeleke nguvu kwingine na huko kukitokea hivyo hivyo utawaambia tena wasishiriki waende kweingine?

Ndiyo maana kwa watu makini wataona jogoo ni yule yule ila kapakwa rangi tofauti
 
Kwani mwenzetu unafikiri CCM wanatumia pesa zao??

Kwa taarifa yako kama TZ tungeweza kukusanya mapato yetu sawasawa na kusimamia raslimali zetu vizuri hata hiy misaada hatuihitaji.

Hebu angalia pesa kiasi gani zimepotea serikalini kupitia kwa mafisadi kwa kipindi cha miiaka miwili au mitatu halafu fikiria hizo pesa zingeweza kujenga nini then u-conclude mwenyewe.

jogoo yule yule ila kapakwa rangi tofauti.Na kwa taarifa yako pia hiyo pesa ya kodi kwa TZ ikikusanywa vizuri kabisa na kulipa wafanyakazi vizuri kabisa haiwezi kufika hata km moja.

Swali ni je? CHADEMA watatowa wapi wa kuziwezesha sera zao,mimi nafikiri ni mhimu unaposema sera na unaitolea mchanganuo ili wananchi waone namna ulivyojipanga ya kuwaletea maendeleo ,vinginevyo naona ni ulagai wa wazi
 
Yaani MkamaP una akili sana ..... huu uchambuzi umekwenda shule sio mchezo. Yaani kweli, hivi chadema watatoa wapi pesa za kuendeshea serikali na kutekeleza sera zao?

a. watachapisha pesa mpya?
b. wataomba misaada ya wafadhili?
c. watakopa benki za kimataifa?
d. watakusanya kodi?
e. watapunguza matumizi yasiyo lazima?
f. watakomesha wizi - EPA, richmond, dowans, etc?
g. pesa zote ni za ccm - vyama vingine havina uwezo wa kuwa na pesa.

Kwa kweli MkamaP ... unafaa kuitwa jiniasi wa sayansi ya siasa
 
Wewe unakuwa kipofu kwa makusudi,nahisi huelewi hata unachoandika na wala ukisoma maandishi bado naamini huelewi mhusika anaongelea nini ? ndilo tatizo la kupenda majibu mapesi mapesi bila kufahamu nini kinaongelewa kwa kusoma tu encapsulation bila kuangalia poyload iliyo ndani ya hiyo encapsulation na tatizo lako unafanya kazi na encapsulation badala ya payload.

Kama ni mtazamo wa namna hii sishangai kusikia kilio chenu kila chaguzi maana hicho kilio ndilo jibu rahisi na sahihi kwenu kama unavyoonyesha hapo juu.
 
E bwana ee ... kweli una akili za hali ya juu. Tayari umeshagundua tatizo langu?! Inaonekana wewe uko matawi ya juu sana kiasi kwamba watu hohe hahe kama mimi ni vigumu sana kuelewa unachoandika

Kama ni mtazamo wa namna hii sishangai kusikia kilio chenu kila chaguzi maana hicho kilio ndilo jibu rahisi na sahihi kwenu kama unavyoonyesha hapo juu.

Mhhh .... ningependa sana kujua chuo ulichosomea ili nami nijiunge.
 
CHADEMA sera zao hazionyeshi jinsi watakavyotutowa kwa namna walivyoziweka ni ubadhirifu ama ulaghai .huwezi sema kila mkulima atapewa ng'ombe afuge maziwa from where? hiyo ndo hoja

weka hapa hizo sera za Chadema then unyesha wasiwasi wako wa kupata pesa za kuzitekeleza. Siyo kusema tu mabomba ya maziwa au ng'ombe yametajwa wapi?

BTN: Serikali iliyopo sasa inapoteza mapato mengi sana. Toka kodi mbalimabli kama vile property tax, kodi zitokanazo na ardhi iliyochukuliwa na wawekezaji, kwenye madini, bandari nk. Serikali yetu ingekuwa effective ktk ukusanyaji mapato tungekuwa mbali sana.
 
Sera, Katiba, Kanuni, Maadili na Itifaki za CHADEMA
bofya hapo mkuu
 
Nziku
njoo tukate sera za CHADEMA nakusubiri mkuu wangu.
 
Pundamilia, hakuna kitu kibaya kama kiburi cha madaraka (the arrogance of power). Jinsi ambavyo CCM haisikii masahihisho ambayo watu walio nje wanayaona (wanasema chama ni safi ila mtu mmoja mmoja siyo safi). Kiburi hiki hiki ndicho ninakiona Chadema vile vile. Lakini chao ni tofauti na cha CCM. Wao CCM ni kile kiburi kinachotokana na kutawala wakati kile cha Chadema kinatokana na kukubalika na umaarufu wake katika vita ya ufisadi. Kiburi hicho hicho kinaonekana CUF kwa namna tofauti (ngome yao ni Pemba na Zanzibar kwa jumla na hivyo hawako tayari kupanua wigo wao).

Chadema sifikirii kama inaweza kubadillika na kujiandaa kuwa chama tawala kwa kadiri ya kwamba kinaendelea kufanya yale yale kikitarajia mambo tofauti. Kuna mtu itabidi awaambie ukweli utokanao na urafiki.

Mkjj,
The way I see, siasa zetu hapa na uendeshaji wa siasa na vyama vyake vinafanana, tofauti ni majina ya vyama tu. Nikiangalia mitazamo mingi ya vyama vya siasa hasa vya upinzani vinaanza kujiona na kuweka mikakati yao kutoka pale CCM ilipoishia. Kwa maana hiyo kupata mabadiliko na mbadala wa mambo inakuwa ni ndoto.
Sichelei kusema kuwa mawazo, utendaji wa viongozi na mpangilio wa vyama vya upinzani ni kama replica ya CCM. Kwa mfano, kama utakuta watu ni wabinafsi upande A basi ni wazi kabisa upande B wapo tena wengi tu. CHADEMA inahitaji kufanya tafiti nyingi sana kadri inavyowezekana ili waweze kuwa broad katika issues na kuweza kujipanga kwa ajili ya 2010. zaidi ya hapo CHADEMA haina budi kugeuka nyuma na kuji-line up upya na vyama vingine vya siasa kama kweli wanahitaji mabadiliko. Bila ya kuchukua hatua sasa, I don't think kama kweli Opposition iliyopo sasa hivi itaweza kuhimili mikikimikiki ya uchaguzi wa 2010. Kwa jinsi wanavyoendesha mambo wasishangae wakajikuta wanapata pigo ambalo litaweka historia mbaya kabisa kuliko wakati mwingine wowote. Tukumbuke kuwa wanamikakati wa CCM ni wengi sana, itakapofika 2010 zile machines zote zilizopo bungeni sasa hivi zitakuwa zimetawanyika kila sehemu ya Tanzania kwa ajili ya kazi moja, makada wa CCM nje ya chama na wenyewe watakuwa busy kuhakikisha mambo yamakwenda sawa, je CHADEMA wamejipangaje, au ndiyo kama ilivyo lugha yao ya kawaida kwamba wanakuwa pamoja na mgombea kabla ya kura kwa kukodisha helikopta, kutumia fedha ya ruzuku na baada ya matokeo wanakuwa wa kwanza kuondoka na kusema ya huko nyuma ni ya mgombea mwenyewe?
Ni vema kwa faida ya taifa letu, tuwe na chama / vyama vya upinzani vitavyoonesha mwelekeo mbadala wa chama kilicho madarakani. Kwa mtazamo wangu, endapo chama / vyama upinzani havina mwelekeo mbadala basi vinakuwa havina sifa ya kupewa madaraka ya kuongoza serikali, kwani hakutakuwa na mabadiliko yenye maana zaidi ya sura za watu wengi, jambo ambalo CCM haijashindwa, imekuwa ikilifanya from time to time.
 
Mkuu ni kweli mtupu unayoongea, inatakiwa watuonyeshe mbinu mbadala za uhakika na zenye tija mambo ya kusema eti nitakusanya kodi hivi na vile hilo hata mtoto wa shule ya msingi ana uwezo nalo kulisema.

Ndiyo mimi nikasema jogoo ni yule yule kapwaka rangi tofauti ,mbinu za CHADEMA ukiziangalia hazina tofauti na za ccm ,ila zimepakwa rangi tuu.
 
Back
Top Bottom