Chadema badala ya kuuza sera mshike Dola mmeamua kudandia, kujadili na kukosoa agenda za CCM!

Chadema badala ya kuuza sera mshike Dola mmeamua kudandia, kujadili na kukosoa agenda za CCM!

Mnacheza Ngoma ya Lumumba badala ya kuwazia kushuka Dola kwa sanduku la Kura. Niwape pole ila hamjachelewa sana
Screenshot_20250714-185856~2.png
 
Unaandaa mechi halafu unaleta referee mwenye hisa katika timu moja halafu hiyo timu inashinda unatoka unajipongeza na kufanya sherehe.

Nyie ndio tunawaita makubwa jinga wa mama .
 
Kama mama hataki watoto wake (wananchi) wamkosoe na watoto nao wamechagua kukaa kimya (CHADEMA) wamuache mama afanye atakavyo hata kama anakosea kwa sabsbu mzazi hakosei (Raisi)

Shida iko wapi,?

Hao watoto wengine walioanza kumkosoa nao watapitia kile kile alichopitia CHADEMA
 
Unaandaa mechi na mpinzani wako, unaleta refa, kamisaa, washika vibendera, waokota mipira, walinzi na uwanja unaulipia wewe...hadi kocha wao unataka awe wako....hiyo timu inashindaje!
 
Back
Top Bottom