Wanataka kithungu, hawataki Kiswahili.Ninawashauri CHADEMA wabadili kauli mbiu yao kutoka "Peoples Power" na kuiita "Nguvu, Nguvu ya Umaa". Sababu ya kushauri hivyo sisi ni Waafrika kwanini tusitumie kiswahili chetu katika mambo yetu ya hamasa kuliko kutumia maneno ya kiingereza. Huku kijijni hatujui kiingereza na tumekuwa kama kasuku tukisema "Peoples Power" na hata hatujui maana yake. Jina la Chama chenu ni sahihi kabisa "CHADEMA" Chama cha Demokrasia na Maendeleo" hapa kila Mtanzania anjua maana yake. Sisi ni Waswahili tusiige vitu ambavyo havitufai.
Hivi TANU ilikuwa Ni ya kiswahili Vile vipi kuhusu ASP..Ninawashauri CHADEMA wabadili kauli mbiu yao kutoka; "Peoples Power" na kuiita "Nguvu, Nguvu ya Umaa".
Sababu ya kushauri hivyo, sisi ni Waafrika kwanini tusitumie Kiswahili chetu katika mambo yetu ya hamasa kuliko kutumia maneno ya Kiingereza?
Huku kijijni hatujui Kiingereza na tumekuwa kama kasuku tukisema "Peoples Power" na hata hatujui maana yake. Jina la chama chenu ni sahihi kabisa "CHADEMA" Chama cha Demokrasia na Maendeleo" hapa kila Mtanzania anajua maana yake.
Sisi ni Waswahili tusiige vitu ambavyo havitufai.
chadema ni kikundi tu cha wajamaa flani ambao ni waoga ila wajanjaNinawashauri CHADEMA wabadili kauli mbiu yao kutoka; "Peoples Power" na kuiita "Nguvu, Nguvu ya Umaa".