Hakuna anayeweza kuweweseka na ujinga huu! Huu Ni ujinga tu ambao hauna hata chembe ya reasoning! Nani aeweseke na takataka hii! Kuna Nini la maana la kumfanyia mtu aweweseke. Pascal Bwana yaani senior journalist can not make a reasoned analysis!Ukisikia kuweweseka ndiko huku,
Mkuu Getrude Mollel, bandiko lako hili, limewachanganya sana hawa manyumbu wa humu, naomba saidia kuwajibu hawa vilaza humu, wanaweweseka kwa kudhani ni mimi nimekuja na multiple ID.
P