Elections 2010 CHADEMA Campaign Machinery

THE PRESDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
View attachment 11914
THE VICE PRESDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA.



Kama kweli upinzani tuna nia ya kukiondoa ccm madarakani kwanza tuwaweke hawa watu mbele ya uso wa dunia.
matokeo yatakuwa mazuri hata kama siyo kwasana.
Ni ushauri wangu tu.
 
"Rudisha nchi kwa wananchi" Perfect slogan .senksi
 
Hivi Hamad Rashid kama mwananchama wa CUF anaweza kuwa mgombea mwenza wa Chadema??? hiyo combination ikiwezekana ni bomba sanaa..
 
Wakuu mapendekezo yenu mazuri. Mimi naongezea wajitahidi kuwa makini katika kutengeneza network ya vijijini wapate watu waaminifu ambao hawatawasaliti dakika za mwisho. Watu watiwe moyo kuwa hata wakipewa hela na CCM haiwazuii kuchagua CHADEMA kwani kwenye box la kura ni siri ya mtu. Mkakati wa kuwapata mawakala makini na waaminifu siku ya kura ni muhimu uanze mapema kwani CHADEMA haina matawi nchi nzima.

TUKO PAMOJA WAKUU, WAKATI WA UKOMBOZI NI SASA.
Tusipotumia nafasi hii hata Mungu atatushangaa tunang'ang'ania kifungoni ilihali tumeruhusiwa kutoka. Mawazo ya kuwa CCM watashinda kwa kuiba kura au ujanja wowote yafutwe kwa sasa. Watu watiwe moyo kuwa inawezekana kwa kura zao tu kujikomboa na shida za msingi.
 
To be fair this is the beginning, not the end! What can not be achieved in 2010 due to the status of our constitution regarding cooperation by opposition parties in General Elections can definitely be worked out towards 2015! Chadema, CUF, NCCR, TLP, etc, can become the leading party with majority support for the change in political power, if and only if they join force in a legal coalition backed-up by constitutional changes. So, all the best Chadema, but remember one thing though, the ruling party CCM is not asleep!..........
 
Hata mimi nimeipenda sana hii "RUDISHA NCHI KWA WANANCHI"
Lets every one play his/her part!
Back 2 z topic.....Chadema ianze kuandaa mawakala waaminifu sana....
 
Kuhusu slogan nafikiri itakuwa vyema kuwepo na neno la kuondoa ufisadi, mfano "UFISADI MWISHO, USAWA KWA KILA RAIA", binafsi sio mwanachama wa Chadema ila am determined kuipigia kura Chadema ili kuondoa ufisadi manake naona wana nia ya kweli ya kuleta mabadiliko. Ili swala la kwamba Slaa hatashinda, hii ni nadhalia tu, kwa nini asishinde kama kila mtu atampigia kura? Inawezekana kushinda kama kila mtu atamuunga mkono.
 
Mheshimiwa nakubaliana unajua chadema wanasema wanategemea nguvu ya umma,naamini hakuna kisichowezekana pale tunapoamua kuweka nguvu za pamoja.Hili ni jambo la kitaifa we need a change kwahiyo wale wote yunaoitaji mabadiliko tuhakikishe yanatokea wapo ambao wanauwezo wakuto michango ya resources tujaribu kufanya hivyo,Kwani hakuna asiyeelewa kuwa Chadema ni chama kisichojilimbikizia mali let us join forces together and things will happen.
 
Ni kweli naongezea tu hapo Dk Slaa ni slaa ya kweli kwa watanzania
 
Hivi Hamad Rashid kama mwananchama wa CUF anaweza kuwa mgombea mwenza wa Chadema??? hiyo combination ikiwezekana ni bomba sanaa..

Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania haya yatawezekana iwapo kati ya mawili yatafanyika
1. Kuunganisha cuf na chadema kuwa chama kimoja
2. hamadi ahamie chadema
 
Hili ni wazo zuri sana

Binafsi ninashauri lugha itakayo tumika ni muhiu sana. Critisism ya utawala wa Nyerere unaumiza watu wengi sana. Nivizuri pia ku appreciate ukweli na kuwa very critic kwa maovu. Siyo ku neg tu bali kutoa na solution

Asanteni
 
Nashauri CHADEMA wazunguke katika Mikoa Mikubwa kama Kanda ya Ziwa na Kanda yz Nyanda za Juu Kusini Kumtambulisha Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Wilbroad Slaa
 
Unajua hizi Slogan zikiwekwa kwenye Mabango, au Pick kila gari likipita na ujumbe nao umepita., na pia kwenye mikutano yao Mabango yenye ujumbe yawekwe ili wale wasio kuwa na muda wa kusikiliza hotuba ndefu wanapata ujumbe kupitia hayo mabango
 
RUDISHA NCHI KWA WANANCHI imetulia kweli.

Kitu kingine kama walivyoshauri baadhi, kampeni ifanywe kwa ustaarabu Chadema wasijikite kwenye kukosoa sana bali waje na solutions. Kwa mfano 'tunatarajia kujenga viwanda viwili vya kusindika matunda kimoja Tanga na kingine Kigoma', this is a positive campaign, lakini wakisema 'CCM haiwezi kujenga viwanda' ni sawa lakini this is more negative than positive campaign ambayo haisaidii kwa sababu tayari watu wanajua CCM haiwezi ndiyo iliyoua viwanda, huo ni mfano tu.

Wakati CCM ikijinadi wamefanya hiki na kile kwa hiyo wanahitaji miaka mingine mitano, Chadema wawe na busara wanaweza kuingizwa kwenye mtego wa kubishana na kustukia muda wa kampeni umekwisha kama alivyoingizwa Mrema kubaki analalamika kaonewa bila kuwaambia wananchi atawafanyia nini. Wao Chadema wanachoweza kusema si kweli, lakini zaidi wawaachie wananchi ndio waamue. Katika kufikia maamuzi Chadema wanachoweza kuwasaidia wananchi ni kuwaonyesha data au tafiti wa kile CCM inachodai imekifanya.
 
Dr wewe ni mchunga kondoo wa Bwana nafahamu ya kwamba unafahamu nguvu ya maneno na jinsi inavyoweza kuyeyusha mioyo ya watu! Cha kwanza kabisa lazima kampeni ziwe na msisimko! Tafuteni kila mbinu ya kuwavuta watu wahudhurie mikutano ili watakapo kuja ujumbe waupate sawasawa!
Pili wapatikane vijana wa kujitolea wapite kaya kwa kaya! Hili pia lisiwe lile la kawaida kama ni mafunzo hata ya wk moja wapatiwe wapeleke ujumbe maalum ambao chama kinadhamiria watanzania waupate hapa ikiwezekana kwa posho ya mlo mmoja wapewe! Hili litasaidia sana ku-mobilize vijana wenzao, pili wananchi watapata nafasi ya kujadiliana ana kwa ana katika vikundi vidogo vidogo! Lengo hapa ni kuifikia hadhira kubwa zaidi Hasa hasa vijana walioko mashuleni na katika vyuo! Hii ilifanikiwa sana kwa Obama.

Kingine ambacho ni cha muhimu zaidi ni fund! Obama kampani ilikuwa fueled na vimichango kidogokidogo kutoka kwa watu wenye mapenzi mema! Yes we can do it watanzania tuko tayari kuchangia hizo sh mia tatu kinachohitajika ni uhamasiji tu!

Mwisho kabisa ni kwamba, Katika mapambano only the best ndo hushinda mbinu, mipango makini inahitajika . Hakuna kisichoshindikana! Yes we can!!
 
Very nice; hapa nitaongezea; ngoja nikapate kahawa naona kijiwe kimekolea sasa; lazima mwaka huu CCM walie.
 
POLITICAL CAMPAIGN IN MODERN POLITICS
• Media Management
• Maximise access to media coverage, by creating media-friendly events. (News. Debates. Conferences. Photo opportunities).
• Image Management
• Focus on style, personality and the maximisation of likeability of candidate and party (Use of symbols, attachments to popular values, appearances to demonstrate expertise, integrity, trustworthiness, care, leadership, humanity, etc.)
• Internal Communications
• Focus on unity within. People speaking from the same notes, following the same screen-play.
• Information Management
Using ostensibly objective, non-patisan government information to generate support (Publicising officially sanctioned policies of incumbents). Places incumbent at a great advantage.
 
It is just an observation. Some moslem leaders said they were to campaign against JK. The same leaders are against the Catholic Church. The cho
ice of Slaa will be seen that he is a catholic candidate, given his background. SO there is no way Slaa will be supported. Thus they will throw away their votes to CUF. In this way CHADEMA na CUF will share the votes. Conclusion? JK atapeta kwa kwenda mbele. Hivi ni kweli Slaa anakubalika Tanzania nzima? Ni kweli? So ndani ya bunge exit Slaa enters Mbowe. Can Mbowe articulate himself on issues of the day when compared to Slaa ndani ya bunge? Nauliza kwa nia nzuri tu.

Na nyie mlioko kwenye diaspora mnakuja na ushauri wa kimarekani mwajiona tayari you are experts.My foot. Tanzania haifanani na US jamani. 80% of Tanzanians live in Rural areas. Huwezi kuwafananisha na wakulima wa marekani.
 
Luteni,

Kwa kuwa watu wetu wengi wa vijijini hawana mwanga wowote na kinachoendelea either hata hapa mjini au hata nchi za jinarani. Mimi ningeshauri CHadema ikiwezekana wanunue Projector zipo siku hizi projector zenye Powerful Resolution hata mchana unaona tu bila tatizo. Matumizi yake yawe kila wanapopita waweze kwanza kuwakumbusha watu ahadi za maisha bora kwa kila mtanzania ukisema tu ni tofauti na kuona picha. Pili watweza kuonesha njisi mafisadi wanavyoishi huku wakitaka kuendelea kuongoza wananchi maskini. pia wanaweza kuonesha njisi karatu ilivyopiga hatua kuliko chalize ya kikwete na mambo mengi sana.

Wote toanjua nguvu Ad hivyo kwa kuwa mfumo wetu hauruhu hili basi chadema lazima watengeneze ad za nguvu na kwa kuwa njia ya kudiploy kwa TV ni ndito wanawza wakawa wanatembe nazo.

Mfano mmoja ni ile ahadi yake ya kuwa matatizo ya walimu niachieni mimi halafu kesho anasema kuwa asiyetaka kazi aache na kumalizia kuwaita mbayuwayu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…