Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 857
- 2,341
Ipo clear"CHADEMA tunataka Wakuu wa vyombo vya ulinzi na aliyekuwa waziri wa habari wawajibishwe" John Heche
Ipo clear"CHADEMA tunataka Wakuu wa vyombo vya ulinzi na aliyekuwa waziri wa habari wawajibishwe" John Heche
Ni hivi: Hao watu wenye mitutu ya bunduki tulizowakabidhi walinde usalama wa nchi yetu tutawataka wakae pembeni wawaachie mapambano nguruwe na hao unaowaita nyumbu.Na hakuna yoyote atakaechukuliwa hatua kama mnataka kupimana ubavu washawishini nyumbu wenu watoke kuleta zile vurugu za kinyumbu na uhalifu alafu uone kama kuna mtu atacheka na nyumbu, muda wa kubembelezana umeisha mkichekewa mtaigeuza Tz kuwa Sudan na kwa hilo hatuko tayari
Kwani wewe ni mwanasiasa; mbona wewe mwenyewe unajichanganya?Wanasiasa muda mwingne ni kama wamechanganyikiwa
Kwenye press hyo hyo unasema huitambui serikali na kwenye press hyo hyo unataka unataka watu wawajibishwe
Je hao watu unataka wawajibishwe na Nan?
Una akili za Kinyumbu ndo maana unaandika kama nyumbu Jike.Kikundi cha wahuni cha chadema kinachochea uvunjifu wa amani na vurugu kupitia wale vigagula wao kina Hilda Newton , baada ya kuona uhalifu wanaouhamashisha umeshindikana kwa mara ya pili ndo mnaleta matamko ya kinyumbu, ni hivii IGP, CDF na hao wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanatakiwa wapongezwe kwa kazi kubwa ya kuzuia nyumbu wahalifu.
Na hakuna yoyote atakaechukuliwa hatua kama mnataka kupimana ubavu washawishini nyumbu wenu watoke kuleta zile vurugu za kinyumbu na uhalifu alafu uone kama kuna mtu atacheka na nyumbu, muda wa kubembelezana umeisha mkichekewa mtaigeuza Tz kuwa Sudan na kwa hilo hatuko tayari
Pumbav.,
Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalifanywa na magenge ya wahuni tarehe 29/ 10."CHADEMA tunataka Wakuu wa vyombo vya ulinzi na aliyekuwa waziri wa habari wawajibishwe" John Heche
Huyo hata angekuwa hai asingekuwa mmoja wa key witnesses!Waziri wa afya aliyekuwa na idadi kamili ya miili kafa! sa itakuwaje ICC?
Laana ya kujifanya kilema inakuandama ,unadhani kila mtu ni MUHUNI kama wewe uliyefanya UHUNI enzi za KAKOBE na mshukuru sana Abdul otherwise ungekuwa unaendeleza UHUNI wako kwa Mwamposa.Kikundi cha wahuni cha chadema kinachochea uvunjifu wa amani na vurugu kupitia wale vigagula wao kina Hilda Newton , baada ya kuona uhalifu wanaouhamashisha umeshindikana kwa mara ya pili ndo mnaleta matamko ya kinyumbu, ni hivii IGP, CDF na hao wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanatakiwa wapongezwe kwa kazi kubwa ya kuzuia nyumbu wahalifu.
Na hakuna yoyote atakaechukuliwa hatua kama mnataka kupimana ubavu washawishini nyumbu wenu watoke kuleta zile vurugu za kinyumbu na uhalifu alafu uone kama kuna mtu atacheka na nyumbu, muda wa kubembelezana umeisha mkichekewa mtaigeuza Tz kuwa Sudan na kwa hilo hatuko tayari
Pumbav.,
Sawa je Nan wa kuwawajibisha?Kwani wewe ni mwanasiasa; mbona wewe mwenyewe unajichanganya?
Umesikia mahali popote katika tamko hilo ikisemwa "serikali iwawajibishe"?
unatia huruma 🤣Kwani wewe ni mwanasiasa; mbona wewe mwenyewe unajichanganya?
Umesikia mahali popote katika tamko hilo ikisemwa "serikali iwawajibishe"?
wewe tuambie mnatutoa lini bana maaana mnasogeza tarehe kila sku 🤣Ni hivi: Hao watu wenye mitutu ya bunduki tulizowakabidhi walinde usalama wa nchi yetu tutawataka wakae pembeni wawaachie mapambano nguruwe na hao unaowaita nyumbu.
Haya ndiyo mapambano yatakayoamua hatma ya taifa hili.
Wawakibishwe na Nani ??"CHADEMA tunataka Wakuu wa vyombo vya ulinzi na aliyekuwa waziri wa habari wawajibishwe" John Heche
Wawakibishwe na Nani ? Katibu Mkuu Kiongozi au Jaji Mkuu??"CHADEMA tunataka Wakuu wa vyombo vya ulinzi na aliyekuwa waziri wa habari wawajibishwe" John Heche
Wewe kama mfugo wa Samia, hilo halikuhusu. Linamhusu Samia mwenyewe ambaye kila dakika sasa inayopita haamini kuwa ataiona ifuatayo.wewe tuambie mnatutoa lini bana maaana mnasogeza tarehe kila sku 🤣
Mimi nitie huruma? EEeeeenHEEeeee!unatia huruma 🤣
we lofa kweli gentleman, unajielewa kweli wewe?🫵🌈 Nimeamini kweli ni mzee. Kipindi chote hukuweza kuingia huku hadi jf imefunguliwa!
