Chadema ni chama kidogo kwa mawazo yangu lakini ni future ya Tanzania. CCM inawakati mgumu kwa miaka 15-20 ijayo.
Chadema itakuwa polepole sana lakini inamisingi imara kwani ina watu imara.
Watu
Ndesamburo-Mfanya biashara maarufu aliyefanya fanya kazi kwa bidii kuanzania miaka ya sitini hadi sasa. Ndesamburo kafanya biashara kihalali na badala ya kukaa chini na kula pesa ameamua kuwa mwanaharakati na mzungumzaji.
Zitto-Kijana aliye zaliwa 1976 lakini kafanya vitu vingi na mabadiliko makubwa kuliko babu zake walio bungeni. Zitto na mwanga tofauti wa kizazi kipya na cha maana sana ni kwamba vijana wengi wanafikiria kama yeye kwenye mambo mengi. Zitto kwa vijana si mwanasiasa lakini ni mwananchi /kijana mwenye uchungu. Anahimiza elimu kwake binafsi kwani hadi sasa anataka kujiendeleza kielimu, na anahimiza mikataba bora kwani anajua watakao pata shida si wazee walioko bungeni balikizazi chake.
Dr. Slaa- Huyu jamaa ni padre haogopi kufa kwani anaamini ana wito kwenye siasa. Ni vigumu kushindana na mtu anayeamini ana wito wa mungu kuwa mwanasiasa kwani rushwa kwa Dr. Slaa si kosa tu bali ni dhambi kwa mungu na anaamini hivyo. Vilevile mafunzo ya upande ambayo ni ya miaka mingi yamempa uvumulivu na upeo wa hali ya juu sana. Katika wanasiasa wa Tanzania hakuna hata mtu mmoja mwenye uwezo wa kiakili, fikra na busara kuliko Dr. Slaa. Ni vigumu kushindana na mtu mwenye akili kuliko wewe na ni mvumilivu. Kuna wana CCM wenye aliki lakini rushwa au usiasa umekuwa mbele kuliko utanzania. Huyu jamaa ni solid.
Mboe- mboye is mtu mwenye kipaji sana lakini ni mfanya biashara mzuri sana. Kitu kimoja ambacho mboe anasaidia ni kubadilika kwa wakati na kuwa mbele kwenye kila kitu mfano. Viongozi wa Chadema wanatumia mitandao kuliko CCM, kampeni kwa helcopta ni muhimu kwa chama chenye viongozi wachache. Mboe analeta creativity kwenye chama. Ni vigumu kuona mchango wa mboe kwasababu yeye si muongeaji lakini creativity yake inaonekana.
Hakuna watu wanne CCM wenye uwezo kuliko hawa jamaa, je ukiwapa viongozi wengine 70 au 100 chama kitakuaje??? Mimi binafsi sina chama