CHADEMA chukueni hili wazo langu mpige hela

CHADEMA chukueni hili wazo langu mpige hela

Dialogist

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
1,167
Reaction score
1,872
Wanandugu wa bodini...

Nawasalimu kwa salamu yangu binafsi, uposondi...?? Mwaweza itikia... ndinandii..

Nimepata tashtwiti ya kuwashauri Chadema, hasa huu uongozi mpya...

Katika njia ya kuanza kuimarisha chama kiuchumi, mnaonaje mkitengeneza hata tisheti elfu 10 (10,000pcs) zenye picha ya Lissu na caption ambayo ninyi mtaona inavutia vijana, mkaziingiza mitaani na vyuoni kuuza... Hamuoni hili ni wazo jema litakaloua ndege wawili kwa jiwe moja?? Huu ndio wakati muafaka Bwana Mwenyekiti Lissu akiwa bado ni talk of the town..

Chukueni huo ushauri mnishukuru mbele ya safari kwa maombi tu!!

Dialogist
Nyamisati Ndani Ndani
 
Mamlaka zitakuwa zinakuangalia tu
9b01c5f776f6cad876ef98f816a66620~2.jpg
 
Wazo zuri Sana Ila pia wafikirie kuandaa na bidhaa za bei rahisi

Mfano bracelets za 200 , vitambaa , calendars n.k .

Kuna mambo mengi Sana hapo .
 
Wasemaaa....
Ni lini moto wa Lissu umewahi kupoa? Kikwete anamjua, Magufuli anamjua na risasi 16 ni awamu yake, Mama anamjua vyema na ndio hivyo anapinga mapendano…

We sema, ni lini Lissu amewahi kupoa?
 
Back
Top Bottom