Chadema chukueni ushauri huu, ni muhimu na wa muhimu na wa bure!

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Kwanza nawapongeza sana kwa kupitisha, kuratibu na kufanya maandamano yaliyotikisa nchi na kufikisha ujumbe masafa ya mbali. Hongereni sana.

Mtafanya makosa kama mtapoa. CCM wana akili sana katika mambo haya. Wanajifanya hawakuona maandamano hayo.

Kwa Sasa Kituo kinachofuata kiwe Mwanza. Na iwe ni baada ya Samia kufanya ziara yake ya 30/1/2024. Mwanza kutapike. Ikumbukwe ni baada ya hapo atakuwa na ziara huko Vatican kukutana na Papa Francis tarehe 12/13/2/2024 kwa mujibu wa ratiba.

Hapa nashauri tarehe 12/13/2/2024 maandamano yafanyike Dodoma na yaishie Ofisi za Bunge ziliko miswada inayopingwa. Hapo kwa siku mbili mfululizo asitoke mtu Toka asubuhi ya 12 Hadi 13. Yani jengo la Bunge liwe ni Tahir Square ya Misri mpaka Spika atoke hadharani na kutangaza kuondolewa Kwa miswada hiyo. Msichezee nafasi hizi adhimu ya kuleta mabadiliko. Chukueni hilo.
 
Ushauri wako ni mzuri.

CHADEMA WAMEKUSIKIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Naunga mkono HOJA.

Michango izidi kufanikisha mipango ya chama.
 
..bila kusahau suala la CHAMA kuwa na VYOMBO vyake vya HABARI ,TELEVISION na REDIO kwa maslahi mapana ya chama na nchi kwa ujumla

Wananchi na wapenda DEMOKRASIA wote ndani na nje ya Tanzania,naamini watachangia gharama za kuanzisha vyombo hivi..FANYENI HIMA
 
Kwanza nawapongeza sana kwa kupitisha, kuratibu na kufanya maandamano yaliyotikisa nchi na kufikisha ujumbe masafa ya mbali. Hongereni sana.

Mtafanya makosa kama mtapoa. CCM wana akili sana katika mambo haya. Wanajifanya hawakuona maandamano hayo.

Kwa Sasa Kituo kinachofuata kiwe Mwanza. Na iwe ni baada ya Samia kufanya ziara yake ya 30/1/2024. Mwanza kutapike. Ikumbukwe ni baada ya hapo atakuwa na ziara huko Vatican kukutana na Papa Francis tarehe 12/13/2/2024 kwa mujibu wa ratiba.

Hapa nashauri tarehe 12/13/2/2024 maandamano yafanyike Dodoma na yaishie Ofisi za Bunge ziliko miswada inayopingwa. Hapo kwa siku mbili mfululizo asitoke mtu Toka asubuhi ya 12 Hadi 13. Yani jengo la Bunge liwe ni Tahir Square ya Misri mpaka Spika atoke hadharani na kutangaza kuondolewa Kwa miswada hiyo. Msichezee nafasi hizi adhimu ya kuleta mabadiliko. Chukueni hilo.
Mbona umesahau machame?
 
Back
Top Bottom