Hebu tunaomba tupewe gharama za uchaguzi za CHADEMA walizotumia na kilicho patikana ili tujue kama kuna faida au hasara ?
Trash! Idiot!
Kwanza wewe unajua maana ya Cost-Benefit analysis! au umekariri na kutafsiri kwa mtindo wa chakachua?
1. Unapoongelea dhana ya Cost-Benefit analysis inajuimuisha tangible and intangible variables.
2. Kwa mfano: idadi ya wabunge walioshinda ni tangible benefit lakini muamko ambao CHADEMA imeleta mwaka huu ni intagible benefit ambayo inaweza kuwa na value kubwa kuliko hata wabunge 50 kwasababu hiyo chachu inaweza ikawa na matokeo makubwa sana hapo baadae.
3. Nina hakika, baada ya mchakato huu kupita, Chadema wanaweza wakatoa costs za uchaguzi lakini kutoa benefits itakuwa ngumu sana na hata wakizitoa basi inatakiwa ifanyike very rigorous political-economy analysis.
4. CCM wametoa ripoti yao ya costs benefits analysis? katika hiyo ripoti yao wamejumlisha negative variable ya kuporomoka kwa umaarufu wa Chama Chao baada ya huu uchaguzi? Nafikiri CCM ndio ina costs nyingi kulinganisha na benefits (kwa mtazamo mpana wa Cost-Benefit analysis)
5. Kwa taarifa yako, nakuibia siri ya ndani...Tangu jumatatu TAR 01/11/2010, idadi ya wanachama wapya waliojiunga na Chadema inaogopesha, na hiyo ni Tangible benefit ambayo thamani yake inaweza kuwa zaidi ya wabunge 100 kwasababu hao wanachama ndio watatujengea misingi imara ya CHADEMA.
6. Kikubwa ninachotaka kukwambia, Cost-benefit analysis is beyond financial statements, na kwa sisi CHADEMA kinachotufariji ni impact ambayo uchaguzi huu imeweka kupitia nguvu ya uma. The benefits we have acrued in this election are far bigger than the recorded costs
which in a way were far smaller and negligible in comparison to our counterpart's CCM.
7. Na nyie mnaodai mlikuwa mawakala, faida ipi mnayotaka muelezwe wakati mnajua fika ni kwa namna gani chama kilitikisa kwenye uchaguzi huu, nataka niwambie safari ya mabadiliko ni ndefu na ngumu, msitegemee kubadilisha vitu overnight, tushikamane na tuendelee na mapambano, I hope 2015 mtatusaidia tena kwenye uwakala.
PEOPLE'S...................PAWAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!