CHADEMA Crisis: Heche Accused of TSh 70M Financial

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
CHADEMA’s stability is threatened by explosive claims of financial irregularities involving Heche. Accused by Sugu and Lema of mishandling donor money, including TSh 70 million that never reached the party, the crisis has escalated with strong calls for his resignation.
 
Yaani wewe James Delicious na ANkali T wa Mbutu mmekomalia sana na siasa zenu za maji TAKA.

Mwizi wa fedha za chama anajulikana na Salim Mwalimu na tayari alishafukuzuzwa.
 
Tumewaambia achaneni na CHADEMA piganieni ushawishi Kwa umma. Shida ccm mmechokwa na hampendwi sasa tatueni shida za wananchi Ili msiwaonee wivu Chadema.
 
Tumewaambia achaneni na CHADEMA piganieni ushawishi Kwa umma. Shida ccm mmechokwa na hampendwi sasa tatueni shida za wananchi Ili msiwaonee wivu Chadema
 
Why always CHADEMA?
 
Nilivyo ona tuu Jina lako nikajua tuu weee ni wa upande ganii

Soo hizi propaganda za akina abduli na mwalimu na mwaipopi na huyu mganga wa kienyeji wa huko kigamboni

Na hao hao walisema injini za magari ya cdm ziliuzwaaa .
 

Uzi huu wa JamiiForums unaonyesha mada yenye madai yanayobishaniwa, si ushahidi uliothibitishwa. Muhtasari wake ni huu:
Mtoa uzi anadai kuwa kuna mgogoro ndani ya CHADEMA unaomhusu Heche, akisema ametuhumiwa na Sugu na Lema kwa madai ya matumizi mabaya ya fedha za wafadhili, ikiwemo TSh milioni 70 ambazo zinadaiwa hazikufika kwa chama.
Washiriki wengi wa mjadala wanapinga madai hayo na kuyaita uzushi au propaganda za kisiasa.
Mchangiaji mmoja anasema mtu aliyewahi kuhusishwa na wizi wa fedha za chama tayari alifukuzwa, na si Heche.
Mwingine anauliza, "Source?", akitaka ushahidi wa madai hayo.
Wengine wanakosoa uzi huo kwa kudai unailenga CHADEMA mara kwa mara na kuuhusisha na ushindani wa kisiasa.
Kwa hivyo, kutokana na maudhui ulioshiriki, hakuna ushahidi au nyaraka zilizowasilishwa kuthibitisha madai dhidi ya Heche. Ni madai ya mtumiaji mmoja ambayo yanapingwa na wengine kwenye mjadala.
Ikiwa unataka kujua kama kweli Sugu au Lema walitoa kauli hizo au kama kuna taarifa rasmi kuhusu madai hayo, ninaweza kukutafutia taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika.


​

Summarize Thread (AI)Jump to newSubscribe
•••
[IMG alt="Zack Abdul"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/828/828692.jpg?1773294354[/IMG]

Zack Abdul​

JF-Expert Member​

CHADEMA’s stability is threatened by explosive claims of financial irregularities involving Heche. Accused by Sugu and Lema of mishandling donor money, including TSh 70 million that never reached the party, the crisis has escalated with strong calls for his resignation.



Reactions:Benoit
[IMG alt="pilato93"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/232/232814.jpg?1727714899[/IMG]

pilato93​

JF-Expert Member​

😂😂😂😂😂😂😂



[IMG alt="Idimulwa"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/44/44763.jpg?1584721562[/IMG]

Idimulwa​

Platinum Member​

Umeona uilete kwa Kithungu eti?Asubuhi mods walikupuuza waka ufutilia mbali huu Uzi wa kizushi



Reactions:Baba mtakatifu91
[IMG alt="King Kong III"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/28/28480.jpg?1545283833[/IMG]

King Kong III​

Platinum Member​

Yaani wewe James Delicious na ANkali T wa Mbutu mmekomalia sana na siasa zenu za maji TAKA.

Mwizi wa fedha za chama anajulikana na Salim Mwalimu na tayari alishafukuzuzwa.



Reactions:Idimulwa, Mama Naa and Jobless_Billionaire
[IMG alt="Mama Naa"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/607/607862.jpg?1657648264[/IMG]

Mama Naa​

JF-Expert Member​

Tumewaambia achaneni na CHADEMA piganieni ushawishi Kwa umma. Shida ccm mmechokwa na hampendwi sasa tatueni shida za wananchi Ili msiwaonee wivu Chadema.



[IMG alt="Andromeda Galaxy"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/797/797833.jpg?1773691446[/IMG]

Andromeda Galaxy​

JF-Expert Member​

Source?



[IMG alt="Mama Naa"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/607/607862.jpg?1657648264[/IMG]

Mama Naa​

JF-Expert Member​

Tumewaambia achaneni na CHADEMA piganieni ushawishi Kwa umma. Shida ccm mmechokwa na hampendwi sasa tatueni shida za wananchi Ili msiwaonee wivu Chadema



[IMG alt="Idimulwa"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/44/44763.jpg?1584721562[/IMG]

Idimulwa​

Platinum Member​

Yaani wewe James Delicious na ANkali T wa Mbutu mmekomalia sana na siasa zenu za maji TAKA.

Mwizi wa fedha za chama anajulikana na Salim Mwalimu na tayari alishafukuzuzwa.
Full stoooooop



[IMG alt="Baba mtakatifu91"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/831/831545.jpg?1778794337[/IMG]

Baba mtakatifu91​

JF-Expert Member​

Why always CHADEMA?












Write your reply...
Post reply
Attach files

Similar Discussions​

Share:
FacebookXBlueskyLinkedInRedditWhatsAppEmailLink

TopBottom
Forums
New posts
Trending
Back
 
Heche ni tatizo kwa CHADEMA. Ila sina hapo ni kuwa Lema kazidiwa kete na mkurya kwenye kutafuna hizo 60m ndo maana katoa mlio. Dunia ipo kasi sana hadi Mangi kuzidiwa ujanja na Mura kwenye suala la mkwanja.
 
Chawa punduani pekee ndiyo watakao kuelewa na kuamini maneno yako!
 
Heche ni tatizo kwa CHADEMA. Ila sina hapo ni kuwa Lema kazidiwa kete na mkurya kwenye kutafuna hizo 60m ndo maana katoa mlio. Dunia ipo kasi sana hadi Mangi kuzidiwa ujanja na Mura kwenye suala la mkwanja.
Chawa kijani ndio mnaowasemea chadema leo,bora hata mjisemee dhima yenu juu ya oct 29 na chafuzi zilizotuelekeza huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…