Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Unadhani falsafa hii inamaanisha nini?
Mathalani,
inasemekana wafia chama wa CUF wanapambana kuhakikisha mgombea Urasi wake anakua ni Profesa pekee, na anapata nafasi hiyo bila changamoto kwa heshima ya utumishi wake uliyotukuka kwa chama kwa muda mrefu.
lengo lao ni kuepusha gharama kubwa zisizo za lazima na kuepusha usumbufu wa mchakato mrefu wenye kupoteza muda wa wagombea na wajumbe lakini pia na rasilimali za chama bila sababu ya msingi.
Na kwahivyo maridhiano ya watangaza nia ya urais chini ya wazee wa chama, ndiyo yatakayomuibua mgombea Uraisi.
lakini kubwa zaidi kwa mfano CHADEMA ni ukata mkubwa wa fedha za kuendeshea chama unao kikumba chama hicho kikongwe cha siasa nchini.
ikimbukwe kua CHADEMA kwasasa inaendeshwa kwa mkopo na ina madeni makubwa kupindukia.
Ruzuku inayopokea kutoka serikalini haitoshi kabisa, yote inaishia kulipa madeni yanayokizonga chama kwa muda mrefu sasa.
kwakweli,
mgombea Urais kupitia CHADEMA anapaswa kujipanga vizuri sana na kujiandaa vyema sana financially, otherwise anaweza asimalize kampeni ya uchaguzi 2025 akawa amekwisha filisika tayari, hali ya fedha ni mbaya mno ndani ya chama.
Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi....
Je,
kwa hali hiyo,
unadhani ni nani hasa anaweza kua na misuli ya uhakika financially na kupewa fursa hiyo adhimu, maalumu na ya kipekee sana this time around miongoni mwa wenye nia ya kugombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema?
Na je,
ni ukata wa fedha ndio umesababisha Demokrasia ndani ya vyama kuwekwa rehani au ni ubabe wa watu kadhaa ndani ya vyama hivyo vya siasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania