Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipe ushujaa uanze kujongea kwa kujiburuza.mvivu ndivyo alivyo kila mzigo ni mzito sana kwake malalamiko na unyonge hauishi kwake..
but watu makini wenye bidii hawaogopi wala kuchoka kusema ukweli. Fomu ni moja tu ya urasi Chadema na cuf, muda utaongea 🐒
sina haja ya kujipa ushujaa hali ya kua mie ni mshindi, asie choka wala kukata tamaa kwenye ugumu na uzito wa safari muhimu sana ya kusema ukweli dhidi ya siasa ndani ya vyama vya siasa nchini 🐒Jipe ushujaa uanze kujongea kwa kujiburuza.
Nafikiri hata neno panic hujui maana yake. Nipanic mimi kwa kitu gani hapo, kwa hizo tungo zako uchwara. Wewe endelea kujaza mabandiko yako najua ndiyo yanakupa mkate wako wa siku.mtu mzima umepanic, unasumbuliwa na mihemko na huna hoja dhidi ya tetesi dah 🤣
Wewe leta ufundi mbuzi wa kuandika tu wakati hamna kitu.sina haja ya kujipa ushujaa hali ya kua mie ni mshindi, asie choka wala kukata tamaa kwenye ugumu na uzito wa safari muhimu sana ya kusema ukweli dhidi ya siasa ndani ya vyama vya siasa nchini 🐒
Tlaatlaah hebu nikumbushe CCM kumbe wanachapisha form ngapi?Unadhani falsafa hii inamaanisha nini?
Mathalani,
inasemekana wafia chama wa CUF wanapambana kuhakikisha mgombea Urasi wake anakua ni Profesa pekee, na anapata nafasi hiyo bila changamoto kwa heshima ya utumishi wake uliyotukuka kwa chama kwa muda mrefu.
lengo lao ni kuepusha gharama kubwa zisizo za lazima na kuepusha usumbufu wa mchakato mrefu wenye kupoteza muda wa wagombea na wajumbe lakini pia na rasilimali za chama bila sababu ya msingi.
Na kwahivyo maridhiano ya watangaza nia ya urais chini ya wazee wa chama, ndiyo yatakayomuibua mgombea Uraisi.
lakini kubwa zaidi kwa mfano CHADEMA ni ukata mkubwa wa fedha za kuendeshea chama unao kikumba chama hicho kikongwe cha siasa nchini.
ikimbukwe kua CHADEMA kwasasa inaendeshwa kwa mkopo na ina madeni makubwa kupindukia.
Ruzuku inayopokea kutoka serikalini haitoshi kabisa, yote inaishia kulipa madeni yanayokizonga chama kwa muda mrefu sasa.
kwakweli,
mgombea Urais kupitia CHADEMA anapaswa kujipanga vizuri sana na kujiandaa vyema sana financially, otherwise anaweza asimalize kampeni ya uchaguzi 2025 akawa amekwisha filisika tayari, hali ya fedha ni mbaya mno ndani ya chama.
Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi....
Je,
kwa hali hiyo,
unadhani ni nani hasa anaweza kua na misuli ya uhakika financially na kupewa fursa hiyo adhimu, maalumu na ya kipekee sana this time around miongoni mwa wenye nia ya kugombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema?
Na je,
ni ukata wa fedha ndio umesababisha Demokrasia ndani ya vyama kuwekwa rehani au ni ubabe wa watu kadhaa ndani ya vyama hivyo vya siasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Uzuri wako unakipigia debe CCM bila matusi.I think that will a story for other day gentleman 🐒
🤣 zaidi ya hitimisho huna kabisa namna ya kuikabili tetesi hiyo muhimu dah 🐒Nafikiri hata neno panic hujui maana yake. Nipanic mimi kwa kitu gani hapo, kwa hizo tungo zako uchwara. Wewe endelea kujaza mabandiko yako najua ndiyo yanakupa mkate wako wa siku.
Umbea mtupu, huna hojaMnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi....
Chawa katika ubora wako🤣 zaidi ya hitimisho huna kabisa namna ya kuikabili tetesi hiyo muhimu dah 🐒