CHADEMA Digital ni successful plan ambayo hata CCM mnaweza kuiga

CHADEMA Digital ni successful plan ambayo hata CCM mnaweza kuiga

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
2,228
Reaction score
3,045
Hawa Chadema sahivi wanakaba hatari[emoji1].

Wametawanya viongozi wao kitaifa, viongozi wa Bavicha, viongozi wa Bawacha nchi nzima kusajiri wanachama wao kwa njia ya kidigitali, whatever we like or not Chadema wamefanikiwa saana kwa hilo. Kusajili watu ata 5m kwenye database yako sio mchezo.

CCM wenyewe ndo walianzisha CCM app enzi za Bashiru lakini ukweli Ile App haikufanya vizuri ata, bado CCM wanatumia kadi za hardcopy za enzi za kijima.

Lakini pia wazo wa Chadema kutenganisha kadi yaani Gold, Diamond, Siliver ni big idea.

Chadema igenii mazuri ya CCM na CCM igeni mazuri ya Chadema.
 
Back
Top Bottom