Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kwa hiyo utapigia kile chama Cha chukua chako mapema sio/chama Chama kwibajinaweza nkawa na ya ccm ila nkapiga kura kwingine shida iko wap? lakini sio chadomo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo utapigia kile chama Cha chukua chako mapema sio/chama Chama kwibajinaweza nkawa na ya ccm ila nkapiga kura kwingine shida iko wap? lakini sio chadomo
Baki na wivu wako hukoo kijani wenzio tunasonga kidigitalibora niwe diwani kupitia ccm ila sio mwenyekiti wa ufipa
CCM wao wana shortcut ya kupata pesa kupitia watawalaHawa Chadema sahivi wanakaba hatari[emoji1].
Wametawanya viongozi wao kitaifa, viongozi wa Bavicha, viongozi wa Bawacha nchi nzima kusajiri wanachama wao kwa njia ya kidigitali, whatever we like or not Chadema wamefanikiwa saana kwa hilo. Kusajiri watu ata 5m kwenye database yako sio mchezo.
CCM wenyewe ndo walianzisha CCM app enzi za Bashiru lakini ukweli Ile App haikufanya vizuri ata, bado CCM wanatumia kadi za hardcopy za enzi za kijima.
Lakini pia wazo wa Chadema kutenganisha kadi yaani Gold, Diamond ,Siliver ni big idea.
Chadema igenii mazuri ya CCM na CCM igeni mazuri ya Chadema.
Mwingine anajiandalia mazingira ya kupata ugali wa siku hiyo🤔.Sio kila anaekupigia makofi anakushangilia
Hureeeee Chama bora barani Africa..mpaka jana kulikuwa na wanachama wa chadema mil 10
Baki na wivu wako hukoo kijani wenzio tunasonga kidigitali
Kwa hiyo utapigia kile chama Cha chukua chako mapema sio/chama Chama kwibaji
Mmmmhapana stapiga kabisa