CHADEMA Digital yavunja rekodi Kanda ya Pwani, Kitita cha mauzo ya kadi chafikia 200% ya makadirio

CHADEMA Digital yavunja rekodi Kanda ya Pwani, Kitita cha mauzo ya kadi chafikia 200% ya makadirio

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Leo_tarehe_12.12.201_Kanda_ya_Pwani_imefanikiwa_kukusanya_jumla_ya_Tsh._14%252C017%252C000_kat...jpg

Hii ndio taarifa iliyofichuka kwenye hafla ya kukabidhi kadi za Premium iliyopewa jina la Jubilant, kwa wanachama wa Kanda ya Pwani, inayorindima leo hii, hapa pana mkusanyiko wa kadi za Gold , Platnum na Diamond.

Makadirio ya awali yalikuwa kukusanya Tsh mil 7 tu, lakini sasa Makusanyo yamefikia Tsh mil 14 na elfu 17.

Hii ndio nguvu ya CHADEMA DIGITAL
 
Wewe Mnyika CHADEMA ilishakufa kitambo
Kiambie chama chako kitu kimoja tu,level playing field yaani vyombo vyote vya ulinzi na usalama vifanye kazi zake kwa viapo walivyoapa,tume huru ya UCHAGUZI then tuitishe uchaguzi within 3weeks tuone nani ataibuka kidedea!
 
Back
Top Bottom