Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,330
- 7,494
Chawa huyo yupo yupo tu anapuyanga,Kiambie chama chako kitu kimoja tu,level playing field yaani vyombo vyote vya ulinzi na usalama vifanye kazi zake kwa viapo walivyoapa,tume huru ya UCHAGUZI then tuitishe uchaguzi within 3weeks tuone nani ataibuka kidedea!
Asikuchoshe mpuuze..!